Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Habari za muda huu wakuu.
Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza 👆juu..

Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.

Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama😅😅

Comments zenu nitazizingatia😁😁

Naomba kuwasilisha

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂
Hii ni sawa sawa na kwenye uchaguzi wa mwaka huu CHADEMA wawaombe Mawakala wa CCM wawasaidie kulinda kura zao sehemu watakazoshindwa kuweka mawakala
 
Hautafuti nyumba ya kupanga mkuu? Tupange kaself tugawane vyumba, sebule na jiko tutumie pamoja?
Hahahah natafuta soon, maana nimeingia jijini rasmi. Itabidi tufanye huo mpango wa kugawana rasilimali

Ila haya mambo bana, utaskia G leo mie naogopa huku kulala mwenyewe naona kama mtu amesimama dirishani. Mary bana...usiogope njoo basi ulale huku kwangu leo. Hapo picha linaanza sasa 🤣🤣🤣
 
Habari za muda huu wakuu.
Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza [emoji115]juu..

Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.

Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama[emoji28][emoji28]

Comments zenu nitazizingatia[emoji16][emoji16]

Naomba kuwasilisha

[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Njoo tupange kwa mtindo huo utaenjoy maisha, Mimi sina madhara hata, ni kama nyuki wa mashineni tu....
 
Hahahah natafuta soon, maana nimeingia jijini rasmi. Itabidi tufanye huo mpango wa kugawana rasilimali

Ila haya mambo bana, utaskia G leo mie naogopa huku kulala mwenyewe naona kama mtu amesimama dirishani. Mary bana...usiogope njoo basi ulale huku kwangu leo. Hapo picha linaanza sasa 🤣🤣🤣
Wewe haujui, picha linaanza hivi.

Mwanaume kwa kawaida ni mvivu wa kupika. Hivo mwanamke atapika chakula cha wote na atatenga mezani watakula pamoja.
Kumbuka hapo mdada atakuwa amevaa nguo ambazo sio rafiki😂😂😂na unajua watu wakishiba mawazo ya sex yanakuja?

Wanaanzia hapo hapo hamna hata kwenda chumbani. Kwa sababu mlango umefungwa. Baada ya hapo ni kuanza kuishi kama mume na mke tu😂😂.

Shida inaanza pale mmoja wapo mpenzi wake anakuja kumtembelea.
 
Habari za muda huu wakuu.
Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza 👆juu..

Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.

Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama😅😅

Comments zenu nitazizingatia😁😁

Naomba kuwasilisha

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂
wewe kuna kitu sema tuu
 
Wewe haujui, picha linaanza hivi.

Mwanaume kwa kawaida ni mvivu wa kupika. Hivo mwanamke atapika chakula cha wote na atatenga mezani watakula pamoja.
Kumbuka hapo mdada atakuwa amevaa nguo ambazo sio rafiki😂😂😂na unajua watu wakishiba mawazo ya sex yanakuja?

Wanaanzia hapo hapo hamna hata kwenda chumbani. Kwa sababu mlango umefungwa. Baada ya hapo ni kuanza kuishi kama mume na mke tu😂😂.

Shida inaanza pale mmoja wapo mpenzi wake anakuja kumtembelea.
Hahahah ila hio inatokeaga ila lazima muwe mmezoeana kidogo. Ile ya sleeping over huwa ni very quick tactic hata kama mmekutana leo.

Sema mpenzi wako hawezi ruhusu uishi sehemu ya hivyo! You can plan doing that ukiwa single.
 
Ila kwa style hio lazma nikule kimasihara maana napenda kupikiwa haswa😂😂😂 tena upike kiufundi ndio dah.
 
Wewe haujui, picha linaanza hivi.

Mwanaume kwa kawaida ni mvivu wa kupika. Hivo mwanamke atapika chakula cha wote na atatenga mezani watakula pamoja.
Kumbuka hapo mdada atakuwa amevaa nguo ambazo sio rafiki😂😂😂na unajua watu wakishiba mawazo ya sex yanakuja?

Wanaanzia hapo hapo hamna hata kwenda chumbani. Kwa sababu mlango umefungwa. Baada ya hapo ni kuanza kuishi kama mume na mke tu😂😂.

Shida inaanza pale mmoja wapo mpenzi wake anakuja kumtembelea.
utasikia mwanake mapishi😅😅😅 boy niko zangu narusha rusha miguu kwenye sofaa
 
Hahahah ila hio inatokeaga ila lazima muwe mmezoeana kidogo. Ile ya sleeping over huwa ni very quick tactic hata kama mmekutana leo.

Sema mpenzi wako hawezi ruhusu uishi sehemu ya hivyo! You can plan doing that ukiwa single.
Kweli ni ngumu kumruhusu mpenzi wako aishi hivo.
Ujue nyege hazina adabu kabisa.
 
Back
Top Bottom