Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Kwa asilimia kubwa labda 90% haiwezekani. Mtaishia kuvuana chupi tu kwa wale wanaovaa chupi 😜😜😜
OhooooπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ίsasa itakuwaje
 
Reactions: BAK
Akili mkichwa walisema wahenga. AMA umtolee nje kushare nyumba ama ujiandae kuvua chupi kama huwa unavaa 😜

OhooooπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ίsasa itakuwaje
 
Wanasemaa "simba akikosa nyama Ata nyasi huwa anakula" japo mala chache hutokea
 
hahahahaha kitu kinateleza tu ndani ya box, ndiyo umeshagegedwa! Mara huoni siku zako 😜
Kufuli kama halipo inakuwa fasta hiyoooo imepenya

Mara naanza kuunga ushoga na ubuyu,udongo na maembeπŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…