Hivi kuna wanachama wa JF wanaoishi vijijini?

Mkuu tupo kijijini japo kama mjini. Unajua vijiji vya kilimanjaro sio kama masasi
 
[emoji106]

Karibu rubambangwe
Ngoja kwanza Baba mwenye nyumba amalize kuzuru himaya yake na mimi nije nichukue chopa moja kwa ajili ya usafiri wa haraka na wenye ufanisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngoja kwanza Baba mwenye nyumba amalize kuzuru himaya yake na mimi nije nichukue chopa moja kwa ajili ya usafiri wa haraka na wenye ufanisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukija huku jibu ni ndio kwa kila kitu tumeelewana???

Lasivyo ntajifanya sikujui
 
Wa vijijini utakuta wameishi mjini wakaenda huko kijijini kusalimia
 
Sio wote wapo mjini wengine wanatuzuga tu wakat wapo huko mbwinde upepo unapougezia
 
Nipo Ushongo - Pangani nasoma comment za JF nikiwa napata upepo mwanana wa bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…