Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hbr ya nanjilinji mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuu
Ebu uko
95% humu wamekulia vijijini.Nimekuwa najiuliza hili swali.maana me naamini sisi sote tunaishi mijini hasa majiji dar na labda katika miji mikuu ya mikoa.kwa kuangalia threads za wengi naona wengi wajanja wote Wana misemo ya kimjini mjini.sifikirii Kama Kuna yoyote ambaye yupo ndani ndani bush kabisa.
Utan mkuu umemind kinazi ... Sawa mkuuHujaniuliza na nani?
Mmemuuliza nani!
Unajua thread inahusu nini??
Acha umalaya utaf**wa
Kasoro mm nmekulia mbingun95% humu wamekulia vijijini.
Mahaba niueShikamoo
MhUtan mkuu umemind kinazi ... Sawa mkuu njoo unifire
Ntipwesi iko msumbijimi mbona nakaa mtipweshi huku ntwara ndanindani
Safi sana kwani una habari gani mbona hivi jamaniHbr ya nanjilinji mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naweka dau na mie, maana ukimfonya mtu hatakama yupo offline lazima kiroho kimshtuke huko alipo... Noma [emoji25][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mmoja huyu Makaveli anaukubali kama ww mpaka anasema nimuuzie hatimiliki
Jamaa kasema et ata ni nanii nimeruhusu ... Jinga sana huyu asitaniwe aiseeMh
Mambo gani hayo bwana ebu acha toka kwenye huu uzi
Ntipweshi iko msumbijimi mbona nakaa mtipweshi huku ntwara ndanindani
Ok wewe ndio uko kwenye hio 5%Kasoro mm nmekulia mbingun
Hapana hata kwenye hyo 5 percent sipo sijui nipo wap maana hata mbingun ... Yaan dah sijuiOk wewe ndio uko kwenye hio 5%
Shikamoo shemela mbebez wa ndugu yetu[emoji23] [emoji23]Mahaba niue
Unanizeesha ili utamu nimuachie nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamoo shemela mbebez wa ndugu yetu[emoji23] [emoji23]
Leo wengi tuko vijijini[emoji23] [emoji23]Safi sana kwani una habari gani mbona hivi jamani
Kuna watu wengine hawapendi matani kabisa ujueJamaa kasema et ata ni nanii nimeruhusu ... Jinga sana huyu asitaniwe aisee