Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

Kuna ule wimbo wa the kilimanjaro band "mpenzi wangu naomba nikueleze pendo langu lililo moyoni mmh moyoni mwangu, mapenzi niii kuheshimiana nami mpenzi nimekuheshimuuu"🎵🎼

Anyway nimeachwa sitaki tena maswaliiii, naenda beach kula upepo wa bahari, naumwagilia moyo mziki kwa mbaliiii, jimbo lipo wazi sema nitakubali.

Unantaka basi ntongozeeee🎵🎼🎼🎼🎼
 
Kuna ule wimbo wa the kilimanjaro band "mpenzi wangu naomba nikueleze pendo langu lililo moyoni mmh moyoni mwangu, mapenzi niii kuheshimiana nami mpenzi nimekuheshimuuu"🎵🎼

Anyway nimeachwa sitaki tena maswaliiii, naenda beach kula upepo wa bahari, naumwagilia moyo mziki kwa mbaliiii, jimbo lipo wazi sema nitakubali....unantaka basi ntongozeeee🎵🎼🎼🎼🎼

Mzuri ila verse hazijaa maneno
 
Back
Top Bottom