Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Naomba kujua kama chibalonza aiiacha watoto au mume

Walikuwa RAIA wa nchi gani naskia Congo ,wengine wanasema ni mrundi
 
Anakwambia kamata pindo la yesu shikilia hahahah
Hadi utamu wa Yesu mwenzio ana ujua, unadhan masikhara Yesu hadi kumpa utamu wake yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo zee nilikuwa nalisikiliza nalichukulia poa ila naona nyimbo zake zinaniingia taratibu. Linajua sana.
 
Chibalonza wako wengi tu ila kwa Sedekia wako wachache saana ila Abiud ni kiboko zaidi ya wote hao
 
Yaani kuna watu wana vipaji extra ordinary. Mimi huwa najiuliza tu watu wale walioimba nyimbo za Christmas, Jingle bells yaani imekuwa anthem miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…