Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Exactly na umenipata sawasawa!ama kwa hakika kufa kufaana gentleman,
fursa popote, right?🐒
Exactly na umenipata sawasawa!ama kwa hakika kufa kufaana gentleman,
fursa popote, right?🐒
Uwezi kuwa timamu akilini mwako ukawaza ujinga uliohoji hapa tena kwenye mazingira ya msibani. Sipo hapa kukujibu mashudu ya ulichoniquote.watakatifu waropoji na wenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kijinsia hawahusiki kuchangia kwenye uzi huu ndugu zangu wadau,
kwasabb hua wakali na wenye hasira sana mambo haya muhimu ya kijadiliwa 🐒
sasa ndugu timamu mbona umejawa na makasiriko kama vile una changamoto ya nguvu za kijinsia?🐒Uwezi kuwa timamu akilini mwako ukawaza ujinga uliohoji hapa tena kwenye mazingira ya msibani. Sipo hapa kukujibu mashudu ya ulichoniquote.
Anajifanya hajui kwamba Lissu lazima apelekwe mahakamani 19 may.Leo huleti ya mahakamani ndugu,kuna tatizo gani leo au haujaonana na wakili wako MWAASHAMBWA?
Sipo kukujibu ujinga, ukiambiwa ukweli sio sababu ya kukimbilia kuanza kutokwa na maneno ya hovyo, yapokee yafanyie kazi na ubadilike.sasa ndugu timamu mbona umejawa na makasiriko kama vile una changamoto ya nguvu za kijinsia?🐒
Na michepuko tunapata hapo hapo na kutimiza fantasy zetu.Hii mada shida watu wameifunganisha na kutongoza kwa dhamira ya kingono.
Ila watu wanapata wake/waume misibani sana tu.
Yes indeed! Its a celebration of lifeso,
biological contacts should be intetained in every burial ceremonies, right gentleman?🐒
Pamoja sana japo tunatofautiana sana kwenye uchawa na issue za taifa letu! Uzuri watanzania ni wamoja bado, ikija kwenye maisha tunasahau itikadi!shukran sana kwa muongozo ndugu mdau mzoefu wa mambo hayo 🐒
fuatilia comments utajuakufanyia kazi mihemko au makasiriko gentleman?🐒