Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 7,258
- 14,942
Pole sana kaka...unyanayasaji wa kisaikolojia sipendi kabisa gentleman, wala kujihusisha na dhuluma za kimapenzi kwa kutumia vitu, mali au cheo![]()
Pole sana kaka...unyanayasaji wa kisaikolojia sipendi kabisa gentleman, wala kujihusisha na dhuluma za kimapenzi kwa kutumia vitu, mali au cheo![]()
watu tulopitia Sunday school bana tuna huruma ya kipekee sana aise![]()
Hakuna cha unyanyasaji hapo ,mwanaume ukipata nafasi itumie vizuri bwashee , sisi ma jobless huku tunamaliza sabuni kwa kunyetuka kisa hatuna kitu hatupewi , tunategemea came back zenu gentleman kibingwa mno😅😅😅unyanayasaji wa kisaikolojia sipendi kabisa gentleman, wala kujihusisha na dhuluma za kimapenzi kwa kutumia vitu, mali au cheo![]()
Ndiyo...Ata juu ya kaburi la marehemuu?
Kijana ni mshamba wa huko babati yeye kazoea kupigana mitamaa kwenye mbaazi kaja mjini anatoa toa macho tuTumepita pia na wengine seminary kbs lkn baada ya kufikia ujana mambo yakabadilika kbs, yani msukumo wa mwili unakupa na akili juu yake, enzi zetu tumekesha kwenye migomba na mvua inakunyeshea, bint anachukungulia dirishani nakupa signal kwamba subiri mzee azimike ntatoka, we hadi kunakucha asbh unaamua kukata tamaa ukalale, nyie mna mobile phone kbs, unachukua namba tu msibani then mnaonana baada ya mazishi, hii si maji kwenye glass mkuu?
Kwani nimesema haiwezekani ila kwa akili za kawaida hao uliowataja walihudhuria msiba sio kuomboleza msiba.Kwenye msiba watu hukumbuka wapendwa wao,wengine huwaza hivi Mimi nikiondoka ntapokelewa na nani nkGentleman,
unawaambia nini wale waliopata wachumba, wake na waume misibani kwenye maombolezo na leo wanaishi kwa furaha kwenye ndoa zao?🐒
Tumetoka mbali sana aisee, mitandao ya mobitel na Celtel imetukuta watu wazima tulianza kwa kukopeshwa mche wa sabuni vile, Voda inaingia ndio kwa mara ya kwanza tunatumia txt msg, kila mtu anashangaa! Vocha tunanunua kwa $$$Kijana ni mshamba wa huko babati yeye kazoea kupigana mitamaa kwenye mbaazi kaja mjini anatoa toa macho tu
awaida we unaonaje? Huu ndio upumbavu wa vijana wa ccm mnakuwa wa pumbavu hata kwa kitu cha kutumia logic ya kawaidaKuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen?
Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
jikite tu kwenye hoja bila mihemko wala siasa.Hivi kwa logic ya k
awaida we unaonaje? Huu ndio upumbavu wa vijana wa ccm mnakuwa wa pumbavu hata kwa kitu cha kutumia logic ya kawaida

kwahiyo inaruhusiwa kutongozana misibani au kuchukua namba tu halafu kifuatacho baada ya msiba?Kwani nimesema haiwezekani ila kwa akili za kawaida hao uliowataja walihudhuria msiba sio kuomboleza msiba.Kwenye msiba watu hukumbuka wapendwa wao,wengine huwaza hivi Mimi nikiondoka ntapokelewa na nani nk
