Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
masuala mengine yasio husiana na jukwaa hili, nitafutwe kwenye majukwaa hayo mahususi na kwakweli nitafurahi sana na kwakweli nutajadiliana kizalendo zaidi.Pamoja sana japo tunatofautiana sana kwenye uchawa na issue za taifa letu! Uzuri watanzania ni wamoja bado, ikija kwenye maisha tunasahau itikadi!
kumbuka,
kukubaliana kutofautiana ndio afya ya mijadala muhimu gentleman 🐒
