Hivi kutongoza msibani kwenye maombolezo inaruhusiwa?

watakatifu waropoji na wenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kijinsia hawahusiki kuchangia kwenye uzi huu ndugu zangu wadau,

kwasabb hua wakali na wenye hasira sana mambo haya muhimu ya kijadiliwa πŸ’
Uwezi kuwa timamu akilini mwako ukawaza ujinga uliohoji hapa tena kwenye mazingira ya msibani. Sipo hapa kukujibu mashudu ya ulichoniquote.
 
Uwezi kuwa timamu akilini mwako ukawaza ujinga uliohoji hapa tena kwenye mazingira ya msibani. Sipo hapa kukujibu mashudu ya ulichoniquote.
sasa ndugu timamu mbona umejawa na makasiriko kama vile una changamoto ya nguvu za kijinsia?πŸ’
 
Hii mada shida watu wameifunganisha na kutongoza kwa dhamira ya kingono.


Ila watu wanapata wake/waume misibani sana tu.
visionary comment of the day gentleman πŸ’ͺπŸ‘Š
 
sasa ndugu timamu mbona umejawa na makasiriko kama vile una changamoto ya nguvu za kijinsia?πŸ’
Sipo kukujibu ujinga, ukiambiwa ukweli sio sababu ya kukimbilia kuanza kutokwa na maneno ya hovyo, yapokee yafanyie kazi na ubadilike.
 
Hii mada shida watu wameifunganisha na kutongoza kwa dhamira ya kingono.


Ila watu wanapata wake/waume misibani sana tu.
Na michepuko tunapata hapo hapo na kutimiza fantasy zetu.

Naomba uliza hivi ukigegeda maiti kibamia kitanasia ndani?
 
Tena as a mata of fwakti, each burrial should be celebrated by having sex. A life lost should be replaced, the sonner the better.
so,
biological contacts should be intetained in every burial ceremonies, right gentleman?πŸ’
 
Sipo kukujibu ujinga, ukiambiwa ukweli sio sababu ya kukimbilia kuanza kutokwa na maneno ya hovyo, yapokee yafanyie kazi na ubadilike.
kufanyia kazi mihemko au makasiriko gentleman?πŸ’
 
shukran sana kwa muongozo ndugu mdau mzoefu wa mambo hayo πŸ’
Pamoja sana japo tunatofautiana sana kwenye uchawa na issue za taifa letu! Uzuri watanzania ni wamoja bado, ikija kwenye maisha tunasahau itikadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…