masuala mengine yasio husiana na jukwaa hili, nitafutwe kwenye majukwaa hayo mahususi na kwakweli nitafurahi sana na kwakweli nutajadiliana kizalendo zaidi.Pamoja sana japo tunatofautiana sana kwenye uchawa na issue za taifa letu! Uzuri watanzania ni wamoja bado, ikija kwenye maisha tunasahau itikadi!
Sawapata tama la maji baridi kwanza walau upate relief kidogo gentleman 🐒
😁😁changamoto ya nguvu za kijinsia zimewafanya kua watakatifu zaidi gentleman dah!
ila mna hasira?🐒
Umekua sasa... sina cha kuongezamasuala mengine yasio husiana na jukwaa hili, nitafutwe kwenye majukwaa hayo mahususi na kwakweli nitafurahi sana na kwakweli nutajadiliana kizalendo zaidi.
kumbuka,
kukubaliana kutofautiana ndio afya ya mijadala muhimu gentleman 🐒
Kama msiba unakuhusu au Huyo binti,unapata wapi hizo fikira za kutongoza? Hata kama hauwahusu je watu halo msibani watawaonaje? Kuna mambo mengine unajifundisha mwenyewe.Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen?
Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Kama msiba unakuhusu au Hugo binti,unapata wapi hizo fikira za kutongoza? Hata kama hauwahusu je watu halo msibani watawaonaje? Kuna mambo mengine unajifundisha mwenyewe.
Hili katupiga parefu sana master , akitafuta na kikoti cha suti cha kuzugia atajitafunia mno jenzii kibao humu🤔Labda mbunge wa kinyecity
Ndugu mheshimiwa mbuge wewe tongoza tu msibani kama wakufa ameshakufa .ndugu watakatifu waropokaji mnapeana moyo kindezi mno gentleman 🐒
Ashindwe yeye tu mkuuHili katupiga parefu sana master , akitafuta na kikoti cha suti cha kuzugia atajitafunia mno jenzii kibao humu🤔
Kama una sukuma v8 wala hakuna cha mbinu gentleman mwambie mtoto mkitoka akufuate kwenye lile Toyota landcruiser V8 jeusi pale nnje ya geti kwa maswasiliano zaidi mwachie luxury physical card yako gentleman.ningependa zaidi kuapata ushuhuda, mbinu mnazotumia na uzoefu wenu gentleman
💪💪this is for big brothers thoughKama una sukuma v8 wala hakuna cha mbinu gentleman mwambie mtoto mkitoka akufuate kwenye lile Toyota landcruiser V8 jeusi pale nnje ya geti kwa maswasiliano zaidi mwachie luxury physical card yako gentleman.
Ata juu ya kaburi la marehemuu?
Picha la kibingwa linamalizwa kibingwa bwashee.💪💪this is for big brothers though
Picha la kibingwa linamalizwa kibingwa bwashee.
unyanayasaji wa kisaikolojia sipendi kabisa gentleman, wala kujihusisha na dhuluma za kimapenzi kwa kutumia vitu, mali au cheoKama una sukuma v8 wala hakuna cha mbinu gentleman mwambie mtoto mkitoka akufuate kwenye lile Toyota landcruiser V8 jeusi pale nnje ya geti kwa maswasiliano zaidi mwachie luxury physical card yako gentleman.