Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Ha ha et apotee ghafla [emoji3][emoji3][emoji3]Mvalishe hata sehemu tu yenye watu wengi kwa kumshitukiza kama una ujasiri, sehemu kama vile kazini, sokoni nk (yaani kiufupi sehemu zile zenye watu wengi)
NB:Fanya hivyo kama una uhakika anakupenda kweli, kama anakuigizia mapenzi anaweza akakuacha solemba mbele za Raia na hivi hauna hata usafiri private, utakuwa unatembea kuondoka eneo la tukio huku unatamani upotee gahfla tu[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app