Ha ha et apotee ghafla [emoji3][emoji3][emoji3]Mvalishe hata sehemu tu yenye watu wengi kwa kumshitukiza kama una ujasiri, sehemu kama vile kazini, sokoni nk (yaani kiufupi sehemu zile zenye watu wengi)
NB:Fanya hivyo kama una uhakika anakupenda kweli, kama anakuigizia mapenzi anaweza akakuacha solemba mbele za Raia na hivi hauna hata usafiri private, utakuwa unatembea kuondoka eneo la tukio huku unatamani upotee gahfla tu[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kwa wabongo mhhh sijui, jamaa anaweza kula za chembe tukamsahau😀.Mvalishe hata sehemu tu yenye watu wengi kwa kumshitukiza kama una ujasiri, sehemu kama vile kazini, sokoni nk (yaani kiufupi sehemu zile zenye watu wengi)
NB:Fanya hivyo kama una uhakika anakupenda kweli, kama anakuigizia mapenzi anaweza akakuacha solemba mbele za Raia na hivi hauna hata usafiri private, utakuwa unatembea kuondoka eneo la tukio huku unatamani upotee gahfla tu[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume nijuavyo.Kwani tukio la kuvalishwa pete gharama za sherehe huwa upande wa mwanamke ama mwanaume?
Mkuu imebidi nicheke tu, kwamba unaweza kuwa unatembea unatamani upotee ghaflaMvalishe hata sehemu tu yenye watu wengi kwa kumshitukiza kama una ujasiri, sehemu kama vile kazini, sokoni nk (yaani kiufupi sehemu zile zenye watu wengi)
NB:Fanya hivyo kama una uhakika anakupenda kweli, kama anakuigizia mapenzi anaweza akakuacha solemba mbele za Raia na hivi hauna hata usafiri private, utakuwa unatembea kuondoka eneo la tukio huku unatamani upotee gahfla tu[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh, maana aibu yake ni noma, bora hata uwe na gari private ukiingia ukafunga milango unatoweka faster, ila kwakutembea utakula maneno ya shombo na vicheko hadi ukome.Mkuu imebidi nicheke tu,kwamba unaweza kuwa unatembea unatamani upotee ghafla
Ofcourse mkuu unachosema ni kweli, so ni bora muelezane kwanza kama anakuigizia ujue akatae ieleweke.Eeeh,maana aibu yake ni noma,bora hata uwe na gari private ukiingia ukafunga milango unatoweka faster , ila kwakutembea utakula maneno ya shombo na vicheko hadi ukome.
Anaenda kuaga bahasha wake kabisa the day before tukio analala huko ikibidi 😅 siku hio unaagwa kwa bashasha good night hubby kisha muhuni anaendelea kuchimbua crypto-mbususu usiku mzima kesho anakuletea wewe ikiwa imekoshwa after zoezi la pete unaenda kupiga jioni 😅😅[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na hapo hapo unakuta binti anagawa nje ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu Hawa viumbe washenzi mno vile walivyo soft huwezi amini matukio wanayotufanyia... Swala la kuoa linahitaji kujiandaa sana kiakili adseAnaenda kuaga bahasha wake kabisa the day before tukio analala huko ikibidi [emoji28] siku hio unaagwa kwa bashasha good night hubby kisha muhuni anaendelea kuchimbua crypto-mbususu usiku mzima kesho anakuletea wewe ikiwa imekoshwa after zoezi la pete unaenda kupiga jioni [emoji28][emoji28]
Ni swala la kujiamini tu hutafuniwi ila hawa watoto wa IFM aisee inataka moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu Hawa viumbe washenzi mno vile walivyo soft huwezi amini matukio wanayotufanyia... Swala la kuoa linahitaji kujiandaa sana kiakili adse
Hivyo vya IFM ni hit & run tuu ..ukiweka Kambi unastukia malengo yako hayatimii ..vinapiga mizinga hvyo ..afu vinapenda kula Bata hatariNi swala la kujiamini tu hutafuniwi ila hawa watoto wa IFM aisee inataka moyo
Hahahaha wanatafuna sana hela za vijana wa mjini ukija stuka amehama tawi kama ngedere😅😅😅Hvyo vya IFM ni hit & run tuu ..ukiweka Kambi unastukia malengo yako hayatimii ..vinapiga mizinga hvyo ..afu vinapenda kula Bata hatari
Hata ya Hela hiyo ya dinner mwamba hana anataka Aite mtoto chap ghero ..amalize mchongo huko huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea na wewe mwenyewe mfano a very intimate dinner then u propose ila kama baby wako anapenda matashtiti sasa thats a different story... Goodluck...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] afu anakua kama hakujui kabisa .watoto Wana dhambi Hawa [emoji23]Hahahaha wanatafuna sana hela za vijana wa mjini ukija stuka amehama tawi kama ngedere[emoji28][emoji28][emoji28]
Eeh hakujui hapo yeye anaendelea na mishe zake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] afu anakua kama hakujui kabisa .watoto Wana zambi Hawa [emoji23]
Asilete mbwembwe nyingi...Nikikumbuka Ay na remi Rwanda...na baada ya ndoa tuu walikaa kidogo wakazinguana .dahKamvalishe siku unatoa mahari.
Hivi AY washaachana na mkewe!!!!Asilete mbwembwe nyingi ...Nikikumbuka Ay na remi Rwanda...na baada ya ndoa tuu walikaa kidogo wakazinguana .dah
Mda tuu ila hataki kuweka wazi Hilo lakini walishapigana chini ...Hivi AY washaachana na mkewe!!!!