kwa wanaume kamili wa mikoni,Greetings
Hivi wakuu,kwa mwanaume kuonekana uko romantic kibongobongo ni pamoja na kugawa pesa hovyo kwa kila shankupe unalokutana nalo hapa mjini?
Iko hivi kuna shankupe flani nilikutana nalo mahali kwenye sherehe,usiku ule tukaruka debe, piga tungi sana na kisha tukamalizia kwa kupigana miti.
Sasa baada ya kama week likaanza kuniletea invoice zake mara gari inatakiwa service na hana pesa,Mara sijui simu imeanguka inatakiwa kununua kioo.me nikaona ujinga huo sifanyi nikawa sijibu texts zake..basi bana hapa saivi limenitumia bonge ya message linaniambia eti mimi siko romantic kisa sijalipa mkwanja.
Unanikumbusha advance, kuna bro mmoja alimtokea demu mkali alafu mkimya hatari.Mtu anaendesha gari mbovu halafu halafu analeta mambo ya romantic, mwambie akatafute hela
Hakuna viumbe wenye akili za kucheza na kiumbe mwenzie kama mwanamke.Kamwe usijekujidanganya kwamba mwanamke hana akili au uwezo kukumudu wewe mwanaume.Usithubutu!Mwanamke hunusa,huhisi,hugusa,huona na kutambua akitakacho na kilicho bora within a blink of an eye.Utapangwa kwa maneno hadi vitendo hadi kieleweke.Tunza na tumia ubongo wako kwa ufanisi.Greetings