Hivi kuwa romantic ni pamoja na kugawa pesa ovyo kwa mashankupe ya mjini?

Hivi kuwa romantic ni pamoja na kugawa pesa ovyo kwa mashankupe ya mjini?

Ni kweli haupo romantic [emoji7]
Si bora hata ungemjibu sms hivi:
Beib hela ya kutengeneza gari sina
Na hata ya kioo kipyaa sina
Ila mjegejege nipo available kwa ajili yako [emoji1][emoji1]
Vitu vidogo kama hivi una fix tu mkuu[emoji41]
NB ningekua mwanaume [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unanikumbusha advance, kuna bro mmoja alimtokea demu mkali alafu mkimya hatari.
Siku yule jamaa kaibuka na mkweche wa dingi yake shule sijui la kubebea majani au la mtoko huko kwao. Anamuambia dada leo ntakupeleka kwenu tukitoka class.
Dada akakataa akasema yete ataenda kwa mguu tuu.
Kesho yake alikuja na Landcruser Jeupe kali mbona yule jamaa alidata.
Watuu aaah mtoto kajibu alikosa raha kweli yule bro aiseee.
Hizi ☝️ story za kutunga bhana 😂😂😂.
 
Greetings
Hivi wakuu,kwa mwanaume kuonekana uko romantic kibongobongo ni pamoja na kugawa pesa hovyo kwa kila shankupe unalokutana nalo hapa mjini?
Iko hivi kuna shankupe flani nilikutana nalo mahali kwenye sherehe,usiku ule tukaruka debe, piga tungi sana na kisha tukamalizia kwa kupigana miti.
Sasa baada ya kama week likaanza kuniletea invoice zake mara gari inatakiwa service na hana pesa,Mara sijui simu imeanguka inatakiwa kununua kioo.me nikaona ujinga huo sifanyi nikawa sijibu texts zake..basi bana hapa saivi limenitumia bonge ya message linaniambia eti mimi siko romantic kisa sijalipa mkwanja.
Kosa lako umeacha kujibu tu, huja block kabisa namba.
 
Hakuna viumbe wenye akili za kucheza na kiumbe mwenzie kama mwanamke.Kamwe usijekujidanganya kwamba mwanamke hana akili au uwezo kukumudu wewe mwanaume.Usithubutu!Mwanamke hunusa,huhisi,hugusa,huona na kutambua akitakacho na kilicho bora within a blink of an eye.Utapangwa kwa maneno hadi vitendo hadi kieleweke.Tunza na tumia ubongo wako kwa ufanisi.
Sasa hapa kwa jamaa mbona amefail kutambua kuwa kwa jamaa hatovuna chochote?
 
Class nzima ilikuwa watoto wa kushua, ss nikupe stori ilikuwa unalipq ADA kuendana na hali uliyokuja nayo.
Mwenye Prado Ada yake
Corola ada yake
Baiskeli ada yake
Miguu pia ada zao
Weee unajiona bishoo ss pale ndiyo ilikuwa kiboko ya mabishoi.
Hii mpya kabisa
 
piga tungi sana na kisha tukamalizia kwa kupigana miti.
Sasa baada ya kama week likaanza kuniletea invoice zake mara gari inatakiwa service na hana pesa,Mara sijui simu imeanguka inatakiwa kununua kioo
Mlipopeana utamu hukumuacha na chochote??
 
Greetings
Hivi wakuu,kwa mwanaume kuonekana uko romantic kibongobongo ni pamoja na kugawa pesa hovyo kwa kila shankupe unalokutana nalo hapa mjini?
Iko hivi kuna shankupe flani nilikutana nalo mahali kwenye sherehe,usiku ule tukaruka debe, piga tungi sana na kisha tukamalizia kwa kupigana miti.
Sasa baada ya kama week likaanza kuniletea invoice zake mara gari inatakiwa service na hana pesa,Mara sijui simu imeanguka inatakiwa kununua kioo.me nikaona ujinga huo sifanyi nikawa sijibu texts zake..basi bana hapa saivi limenitumia bonge ya message linaniambia eti mimi siko romantic kisa sijalipa mkwanja.
Migumegume kama hiyo sio ya kushobokea hapa mjini mkuu. Ni bora ulipolipuga chini mazima. Lingekusumbua sana aisee!
 
Back
Top Bottom