Hivi kuwa romantic ni pamoja na kugawa pesa ovyo kwa mashankupe ya mjini?

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi ☝️ story za kutunga bhana 😂😂😂.
 
Kosa lako umeacha kujibu tu, huja block kabisa namba.
 
Sasa hapa kwa jamaa mbona amefail kutambua kuwa kwa jamaa hatovuna chochote?
 
Class nzima ilikuwa watoto wa kushua, ss nikupe stori ilikuwa unalipq ADA kuendana na hali uliyokuja nayo.
Mwenye Prado Ada yake
Corola ada yake
Baiskeli ada yake
Miguu pia ada zao
Weee unajiona bishoo ss pale ndiyo ilikuwa kiboko ya mabishoi.
Hii mpya kabisa
 
piga tungi sana na kisha tukamalizia kwa kupigana miti.
Sasa baada ya kama week likaanza kuniletea invoice zake mara gari inatakiwa service na hana pesa,Mara sijui simu imeanguka inatakiwa kununua kioo
Mlipopeana utamu hukumuacha na chochote??
 
Migumegume kama hiyo sio ya kushobokea hapa mjini mkuu. Ni bora ulipolipuga chini mazima. Lingekusumbua sana aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…