Hivi kuwa romantic ni pamoja na kugawa pesa ovyo kwa mashankupe ya mjini?

Jinga hilo.
As long as ushapita nalo one night stand, pita hivi.
 
Class nzima ilikuwa watoto wa kushua, ss nikupe stori ilikuwa unalipq ADA kuendana na hali uliyokuja nayo.
Mwenye Prado Ada yake
Corola ada yake
Baiskeli ada yake
Miguu pia ada zao
Weee unajiona bishoo ss pale ndiyo ilikuwa kiboko ya mabishoi.
Hii kweli noma. Huyo jamaa kweli kanyooshwa.
 
achana nalo hilo bwege๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Tia helaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ