hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

mtaji wa M1 kama kijana ni biashara gani unaweza kuifanya na ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa??
  • Fanya utafiti katika jamii inayokuzunguka na baini nini hasa hitaji lao kubwa. Hiyo ndio fursa ya biashara ya kwanza kabisa kuifanyia kazi.
  • Swali lako halijibiki vyema sababu kuna taarifa hujaweka wazi. Mfano: Biashara kwa kijana wa mjini (Miji) kama Dar ni tofauti na biashara kwa kijana wa Ngara au Njombe. Hivyo ongeza maelezo uko wapi? Mazingira yapi? kijijini au jijini. Ili upate ideas kulingana na mazingiara yako
 
Kama upo dar fungua genge la mbogamboga na nafaka pia unga.
Tafuta mtaa ujipachike hili ndo chaguo la mwisho..
Kama upo kijijn hyo pesa lima mpunga au nunua nafaka kijijin kauze mjini.
Polepole utaenda unausoma upepo, huku ukilinda mtaji wako.
 
Habari ndugu zangu nlikua naomba kuuliza kwa mtaji wa M1 kama kijana ni biashara gani unaweza kuifanya na ikawa na mzunguko mkubwa wa pesa??
ndugu biashara yenye mzunguko mkubwa unaitengeneza ww nikimaanisha wateja lazima uwatengeneze kukuamini na kuhitaji bidhaa yako asikudanganye mtu kuna biashara yenye mzunguko mkubwa wa pesa bila kuwa na wateja wenye uhitaji wa bidhaa zako.... hivyo basi kwa kukushauri chunguza ni nini unaweza fanya alafu wekeza nguvu na akili zako hapo usifuate mkumbo na usiangalie biashara kwa jicho la tamaa itizame kama kazi na sehemu ya kujifunza....... chunguza wafanya biashara wote wanadili na wateja zaidi ndipo wanajitanua....
zipo biashara watu hufanya na bidhaa huhitajika lakini baadhi huanguka kwasaabu hawakuwekeza kwenye kuvuta mteja mtu kakurupuka na hela yake kawekeza kaona kamaliza ila biashara ina mambo mengi ya kujifunza kabla ya kuiingia.

hiyo 1m yako tafuta sehemu kuna bar nzuri ingia kaa kunywa beer mbili tatu tafuta pisi moja ipe pesa kainyandue uenjoy life.🤣 ila usisahau ushauri wangu hapo juu
 
Back
Top Bottom