hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

hivi kwa kijana mtaji wa M1 unaeza anzisha biashara gani ambayo inamzunguko mkubwa??

ndugu biashara yenye mzunguko mkubwa unaitengeneza ww nikimaanisha wateja lazima uwatengeneze kukuamini na kuhitaji bidhaa yako asikudanganye mtu kuna biashara yenye mzunguko mkubwa wa pesa bila kuwa na wateja wenye uhitaji wa bidhaa zako.... hivyo basi kwa kukushauri chunguza ni nini unaweza fanya alafu wekeza nguvu na akili zako hapo usifuate mkumbo na usiangalie biashara kwa jicho la tamaa itizame kama kazi na sehemu ya kujifunza....... chunguza wafanya biashara wote wanadili na wateja zaidi ndipo wanajitanua....
zipo biashara watu hufanya na bidhaa huhitajika lakini baadhi huanguka kwasaabu hawakuwekeza kwenye kuvuta mteja mtu kakurupuka na hela yake kawekeza kaona kamaliza ila biashara ina mambo mengi ya kujifunza kabla ya kuiingia.

hiyo 1m yako tafuta sehemu kuna bar nzuri ingia kaa kunywa beer mbili tatu tafuta pisi moja ipe pesa kainyandue uenjoy life. ila usisahau ushauri wangu hapo juu
hahahahaha NA wachini sio ushauri mkuu?
 
Fanya biashara ya oil za kupima diesel na petrol engine oil utafika mbali niamini mtaji mzuri kwa kuanzia
Hii ni nzuri hasa njiani au vijijini ambako hakuna sheli na anaingiza mpunga wa kufa mtu ila kimjinimjini ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom