Ukishaelewa kuwa dini yenyewe ina vinasaba vya yule Joka Kuu wala hupati shida kufanya maamuzi mazuri kwa wakati sahihi, ni heri ubaki pekeyako kiimani kuliko kufata mikumbo ya mapokeo kiimani toka kwa Babu, Bibi, Baba na Mama.Nani aliwaambua eti mtu anaweza kumbaliki mtu mwenzie. Hivi nyie mnacheza na Mungu eti!!
Nimeshangaa sana eti Kuna watu wanabariki watu wenzao. Sasa mungu ana kazi Gani! Mbona mnataka kumnyanganya ukuu wake.
Eti mashoga hamtawabariki!! Kwani uwezo wa kubarika mmetoa wapi
Utulie haswaDini inamkanganyiko mkubwa sana, ili kujua dini ni nini, akili inahitajika kutulia,
Soma Biblia kwa lengo la kuielewa sio kuisoma kama vile unasoma hadithi za magazeti ya Sani.Nani aliwaambua eti mtu anaweza kumbaliki mtu mwenzie. Hivi nyie mnacheza na Mungu eti!!
Nimeshangaa sana eti Kuna watu wanabariki watu wenzao. Sasa mungu ana kazi Gani! Mbona mnataka kumnyanganya ukuu wake.
Eti mashoga hamtawabariki!! Kwani uwezo wa kubarika mmetoa wapi
Huyu ni wale walokole vijana, huwa wanajiona wanajua kila kitu kumbe bado wanafunzi tena wachanga kabisa kwenye masuala ya kiroho.ukiambiwa tumeumbwa kwa mfano wa Mungu wewe hua unaelewa nn?
ukimnenea mtu baraka anabarikiwa
source nenda kasome bible yote nahis hata Quran pia itakua imesena hivyo
ukiambiwa tumeumbwa kwa mfano wa Mungu wewe hua unaelewa nn?
ukimnenea mtu baraka anabarikiwa
source nenda kasome bible yote nahis hata Quran pia itakua imesena hivyoha
Muacheni mungu na ukuu wake. Msimnyanganye plzSoma Biblia kwa lengo la kuielewa sio kuisoma kama vile unasoma hadithi za magazeti ya Sani.
Hakuna mwenye uwezo wa kumnyanganya ukuu wake, uelewa wetu ndio tatizo.Muacheni mungu na ukuu wake. Msimnyanganye plz
Kabisa, maana vitabu vyenyewe vya Dini vinakizana Kati ya agano la kale na agano jipya.Utulie haswa
Mungu huyo kama ni mkuu kweli mbona ana nyang'anywa ukuu wake kizembe zembe tu na hajafanya chochote kile?Muacheni mungu na ukuu wake. Msimnyanganye plz
Nitakujibu kwa maandiko kuwa kuna watu kama viongozi wamepewa dhamana ya kuwapa watu baraka za Mungu ( sio mashoga)Nani aliwaambua eti mtu anaweza kumbaliki mtu mwenzie. Hivi nyie mnacheza na Mungu eti!!
Nimeshangaa sana eti Kuna watu wanabariki watu wenzao. Sasa mungu ana kazi Gani! Mbona mnataka kumnyanganya ukuu wake.
Eti mashoga hamtawabariki!! Kwani uwezo wa kubarika mmetoa wapi
Nakushauri usijiingize katika mambo yanayokuzidi uwezo wakati andiko lako kunionyesha ni kilaza failure. Kwanza hujui kubwa baraka ni two way traffic, "ubarikiye nitambariki na umulaaniye nitamulaani". "Utajachofunga duniani na mbinguni litafungwa na utakkachokifungua duniani na mbinguni kitafunguliwa". Hiyo ni mifano michache kati ya mingiNani aliwaambua eti mtu anaweza kumbaliki mtu mwenzie. Hivi nyie mnacheza na Mungu eti!!
Nimeshangaa sana eti Kuna watu wanabariki watu wenzao. Sasa mungu ana kazi Gani! Mbona mnataka kumnyanganya ukuu wake.
Eti mashoga hamtawabariki!! Kwani uwezo wa kubarika mmetoa wapi
Biblia ni kisichoaminika ndugu. Swali ni kwamba je mungu ana kazi Gani wakati Kuna watu wametwaa tayri uungu wakeNitakujibu kwa maandiko kuwa kuna watu kama viongozi wamepewa dhamana ya kuwapa watu baraka za Mungu ( sio mashoga)
NARUDIA...UFIRAJI NA USHOGA KIBIBLIA NI DHAMBI HIVYO PAPA WENU NI MPOTOSHAJI SOMA HAPA...
(Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
1 Wakorintho 6:9
na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana na mafundisho yenye uzima;
1 Timotheo 1:10)
SASA TUANGALIE WANADAMU KUWABARIKI WENGINE
Labani akaondoka asubuhi na mapema, akawabusu wanawe na binti zake, akawabariki; kisha Labani akaenda zake, akarudi kwao.
Mwanzo 31:55
Kisha Haruni akainua mikono yake na kuielekeza kwa hao watu, akawabariki; kisha akashuka akisha isongeza sadaka ya dhambi, na sadaka ya kuteketezwa, na sadaka za amani.
Mambo ya Walawi 9:22
Basi Yoshua akawabarikia, na kuwapa ruhusa waende zao; nao wakaenda mahemani kwao.
Yoshua 22:6
Basi Musa alikuwa amewapa hiyo nusu moja ya kabila ya Manase urithi katika Bashani; lakini hiyo nusu ya pili Yoshua aliwapa urithi kati ya ndugu zao, ng'ambo ya Yordani upande wa kuelekea magharibi. Zaidi ya hayo Yoshua, hapo alipowapeleka waende zao mahemani kwao, akawabarikia,
Yoshua 22:7
Kisha Daudi alipokwisha kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani akawabarikia watu kwa jina la Bwana wa majeshi.
2 Samweli 6:18
Mfalme akageuza uso wake, akawabarikia mkutano wote wa Israeli; na mkutano wote wa Israeli wakasimama.
2 Mambo ya Nyakati 6:3
Simeoni akawabariki, akamwambia Mariamu mama yake, Tazama, huyu amewekwa kwa kuanguka na kuinuka wengi walio katika Israeli, na kuwa ishara itakayonenewa.
Luka 2:34
NINA MAANDIKO MENGI YA EATU KUWABARIKI WATU, UNAHITAJI ZAIDI?