Hivi kwa nini wanawake wafupi asilimia kubwa wanapenda kuolewa na wanaume warefu?

Hivi kwa nini wanawake wafupi asilimia kubwa wanapenda kuolewa na wanaume warefu?

kichwa cha thread kingesomeka hv

kwa nini wanaume warefu wanapenda kuoa wanawake wafupi???

N way, ni hivi..

wanawake wafupi wanajua kupenda wanajali, wanyenyekevu, warembo, ni walezi wazuri ,na wanajua kukamata wanaume vzr

zaidi ya yote wanabebeka kunako 6×6

haaa ngoja namimi niongeje juhudi kutafuta kafupi, sasa wakati unakanyandua kifo cha mende, si unakafunika mwili mzima, katahema kwelii??
 
Wanawake wanavutiwa na wanaume warefu kwasababu za kisaikolojia:
Urefu wanaona ni moja ya masculine features
So wanavutiwa na
*Urefu
*Physical fitness ile miili kama bodybuilder au athlete
*Sura
 
Ila urefu kunaleta kujiamin Sana ndomana zaman ulikuwa huingiii jeshin Kama wew n mfupi na ndomana zaman Hitler alikuwa anapenda watu warefu
 
Back
Top Bottom