Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
π π π π yeah ni AI generatedKwakuwa hiyo picha ni editing japo nia ni kufikisha ujumbe, nimeona hapo mwanzo mwanzo mtu anakimbia ana miguu mitatu.
So lile dude kumbe halina limitation kwamba watu kiasi fulani wanatosha?Mjue nyie hamuelewi pale
Wale wanaokimbilia wanawahi mbele ili wawe wa kwanza kushuka wanawahi kusimama mbele kabisa ya kivuko na wengi wao plan yao ni kuwahi daladala maana kuna watu wanakaaa kigamboni ndani ndani hadi kimbiji kusimama kwenye daladala ni shida so plan zao ni kupata siti za magari
Kwani utaratibu umebadilika?So lile dude kumbe halina limitation kwamba watu kiasi fulani wanatosha?
Maana wanavyokimbilia hivyo utajua wameingia 200 au 500?likizidiwa je?
Uwongo m'baya,sema hao jamaa wanaoishi huko wana tabu sanaWa kigamboni wanawahi daladala
Wakazi wa pande ipi ya dar wana raha sanaUwongo m'baya,sema hao jamaa wanaoishi huko wana tabu sana
Nadhani unamzungumzia huyo mwenye Jean's ya blueππππKwakuwa hiyo picha ni editing japo nia ni kufikisha ujumbe, nimeona hapo mwanzo mwanzo mtu anakimbia ana miguu mitatu.
Yeah, huyo huyo.Nadhani unamzungumzia huyo mwenye Jean's ya blueππππ
Basi sawaYeah, huyo huyo.
Labda utaratibu umebadilishwa.Kwani utaratibu umebadilika?
Back in 2016/17/18 ulikuwa unakatia ticket, unasubiri kivuko kije βnadhani pale kwenye ticket kunakuwa na limit kabisa ama huko Dar siku hizi mambo yamekuwaje? Lenie
Nasubiri wazoefu wajibu hapaWakazi wa pande ipi ya dar wana raha sana
Dah mateso kweliππ, so uki chelewa huendi nyumbani??Mjue nyie hamuelewi pale
Wale wanaokimbilia wanawahi mbele ili wawe wa kwanza kushuka wanawahi kusimama mbele kabisa ya kivuko na wengi wao plan yao ni kuwahi daladala maana kuna watu wanakaaa kigamboni ndani ndani hadi kimbiji kusimama kwenye daladala ni shida so plan zao ni kupata siti za magari