Hivi kwa nini watu wakiona kivuko lazima wakikimbilie?

Hivi kwa nini watu wakiona kivuko lazima wakikimbilie?

Mjue nyie hamuelewi pale

Wale wanaokimbilia wanawahi mbele ili wawe wa kwanza kushuka wanawahi kusimama mbele kabisa ya kivuko na wengi wao plan yao ni kuwahi daladala maana kuna watu wanakaaa kigamboni ndani ndani hadi kimbiji kusimama kwenye daladala ni shida so plan zao ni kupata siti za magari
Nashukuru kWa kunisemea mkuu..tunapataga tabu sana aise.

Itabidi nipitishe mchango wa fweza gari ipatikane
 
Dah uki sikia maajabu basi ndio haya, nime kuwa naji uliza kwanini watu Waki ona kivuko.
Lazima waki kimbilie Kama vile wame ona pepo??

Uta shangaa watu Wana kimbia Kama vile wame sikia dunia Ime fika mwisho, sio wanaume au Wanawake wote ni majanga tu.

Yaani una eza dhania ni game so Kuna mtu ana waendesha??
View attachment 2838323

Saaa mkuu si wanawahi siti
 
Kwani utaratibu umebadilika?
Back in 2016/17/18 ulikuwa unakatia ticket, unasubiri kivuko kije ‘nadhani pale kwenye ticket kunakuwa na limit kabisa ama huko Dar siku hizi mambo yamekuwaje? Lenie
Mambo siku hizi ni kuscan na kadi yako, mnaingia likijaa linaamsha nahisi kepteni anahesabu kwa macho wakitosha anaanza safari.
 
Back
Top Bottom