Hivi kwa nini watu wakiona kivuko lazima wakikimbilie?

Nashukuru kWa kunisemea mkuu..tunapataga tabu sana aise.

Itabidi nipitishe mchango wa fweza gari ipatikane
 

Saaa mkuu si wanawahi siti
 
Kwani utaratibu umebadilika?
Back in 2016/17/18 ulikuwa unakatia ticket, unasubiri kivuko kije ‘nadhani pale kwenye ticket kunakuwa na limit kabisa ama huko Dar siku hizi mambo yamekuwaje? Lenie
Mambo siku hizi ni kuscan na kadi yako, mnaingia likijaa linaamsha nahisi kepteni anahesabu kwa macho wakitosha anaanza safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…