chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele.
Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa.
Historia inasema kulikuwa na watu wenye uwezo mkubwa ambao waliona dunia mbali kuliko kundi la wengi kuona karibu ila leo kundi la wengi linaona dunia imekuwa kumbe kuna watu wachache ndio wamefanya hivo.
Mfano kipindi cha Tesla kuhusu wireless ya umeme,Ni kama watu walimuona kituko.
Mfano wa pili wanasayansi wengi walioleta mawazo na kuona mbali wengi walipingwa ila leo yanatumika.
Ni kwa nini watu hawa wanao kuwa tofauti tunaweza kuona wamwchanganyikiwa mwisho wa siku ndio vinatufikisha kwenye maisha haya.