Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

King Charles katoboa akiwa na 70yrs, tena juzi tu
 
Hahahahaha mm mkongwe mkuu
Miaka 41 ni michache sana kama una ndoto ambazo unataka kuzifikia,
pia mikakati ya kuzifikia.

KFC alitoboa akiwa zaidi ya 65 ila kibahati bahati, ukiamua kusubiri bahati kama yeye likely ukafa ukisubiri bila kutoboa.
Miaka inaenda mbio..una 41, Hangaya akienda vipindi viwili utakuwa na 51 hivyo usizembee kimbiza ndoto zako kwa vitendo.

Bahati itakukuta barabarani.
 
Mkuu hakunaga tafsiri sahihi ya kutoboa. Dhana ya kutoboa ni pana sana na inategemea na hutofautiana na mtu na mtu. Kuna mtu akiwa na afya njema na ana pakulala na kula basi keshatoboa.

Labda kama una maanisha kutoboa kiuchumi, lakini nayo pia inategemea ulikuwa umejiwekea malengo gani haswa.

Muhimu usikinganishe maisha yako na ya mwingine, watu tuna vyanzo vya pesa tofauti tofauti sana.

Mwisho umri ni namba tu mzee mwenzangu, ni perception tu, ni Africa tu huwa tunajiwekea boundaries za mambo kulingana na umri kama kuoa, kuelewa, kuzaa, kufanikiwa etc.
 
Kutoboa kimaisha ni
1. Kumjua na kumcha Mungu
2. Kuwa na Afya njema
3. Kusubiri kusudi la Mungu na hatma ya maisha yako.

Dunia isikuchanganye.
Kila kitu ni ubatili.
Alafu kwenye maisha hakuna mwenye hasara na atakayepata faida Kwa yote aliyotafanya zaidi ya Yule aliyetenda Mema
 
Mkuu jiue tu commit suicide ndo njia pekee ya kutoboa maisha maisha yanapokuwa magumu. Utapumzika milele hutakuwa na shida tena. Hata usipokufa leo bado tu utakufa hutaishi milele. Kwanini uendelee kuish kwa shida?

Jiue tu mtu wangu hamna namna!

Gushleviv hydroxo Prince Kunta Ncha Kali Magonjwa Mtambuka Mzingo kikiboxer ngenya
 
Mafanikio kwako kiuchumi ni mpaka uwe na nini?
 
Umeenda kuwafuata shuleni akina Junior watoto wa dadako? Usijisahau hapo sebuleni kwenye sofa naona umeshika remote unabadilisha tu channel kwenye Tv
 
Fatilia historia ya mmiliki wa KFC
 
Steven Wassira bado ana ndoto za kutoboa kichumi kupitia siasa sembuse wewe mtoto mbichi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…