Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaweza kutufafanulia hiyo no.3?Kutoboa kimaisha ni
1. Kumjua na kumcha Mungu
2. Kuwa na Afya njema
3. Kusubiri kusudi la Mungu na hatma ya maisha yako.
Dunia isikuchanganye.
Kila kitu ni ubatili.
Alafu kwenye maisha hakuna mwenye hasara na atakayepata faida Kwa yote aliyotafanya zaidi ya Yule aliyetenda Mema
Kabisa. Mengine waachie watoto.Hata 70 unaweza:
- Bidii
- Uaminifu
- Sala
Mkuu unaweza kutufafanulia hiyo no.3?
Kupanga sio dhambi, dawa ni kupambana tu,Kama una nyumba hata ya kuingiza kichwa usihofu pambana. Ila kama bado uko kwenye upangaji nakupa pole
Hapo ndo pakuanzia usiwe na wasi.Namshukuru Mungu nyumba ninayo mkuu. Kwa malazi tu, familia inalala pazuri.
Hapa kuna walakini.3. Kusubiri kusudi la Mungu na hatma ya maisha yako.
AsanteKusudi la Mungu ni kufanya Mapenzi na amri zake hila kuchoka.
Fanya kazi Kwa bidii bila kuangalia muda upo au umeisha.
Weka akiba hata Kwa kidogo upatacho.
Alafu hayo mengine muachie Mungu
Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41?
Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu.
Naanza kuona Kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia.
Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi Kuna possibility ya kutoboa kwa umri huo? Au ndio nishazeeka Tena!
Sio kwamba hujafanikiwa, bali kusudi na mapenzi ya Mungu bado kwa wakati huo. Kwahiyo, usihesabie kuwa hautafanikiwa, ongeza bidii ya mapambano. Halafu tukumbuke kuwa kazi ni ibada, na hakuna ibada isiyo na faida kwakuwa Mungu wetu ni muadilifu.Unaweza kufanya juhudi katika kazi na usifanikiwe pia
Unaweza MkuuWana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41?
Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu.
Naanza kuona Kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia.
Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi Kuna possibility ya kutoboa kwa umri huo? Au ndio nishazeeka Tena!
Inasikitisha kukata tamaa mapema hivyo!Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41?