Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

Tuwe realistic you "cant plan for the future when you are already in the future"

hi Africa yetu ni vigumu kutoboa bila kutumia nguvu za ziada au kipaji tuna obstacles au challenges nying interna na external intrinsic na extrinsic loh!!!! Kutoboa Africa sio mchezo
 
Point yako ni muhimu sana...japo haina maana kwa dunia ya leo
 
Perfect
 

Bidii haikufanyi utoboe Mkuu.

Akili+ baraka/kudura+ muda+ bidii+ Uthubutu= kutoboa
 
Ninapoona mwenzangu unayehangaika kuwa hujatoboa una nyumba ya haja tu ya kutumia familia, nimechoka kabisa! Nina umri kama huo; zaidi ya viwanja tu viwili, sina kingine tena dunia hii mpaka sasa. Kila nikiona vitoto vyangu viwili vinavyocheza kwa raha na amani bila kujua ni vipi baba yao wasiwasi na mafikirio ya future yao vinavyoongezeka kila sekunde inayonipita sasa.........wangetulia kabisa!!
 
binafsi nadhani nafasi unayo mpaka mwisho wako usilaze damu tu...

bila kuzingatia mipaka ya kitaifa na rangi ya ngozi, story ya Colonel Harland David Sanders (aliyeanzisha KFC) inaweza ikawa jawabu ila nafasi ipo sana!
 
Unafeli kwa kukata tamaa, 41 ndio haswa umekuwa na focus katika maendeleo utaenda. Prince Charles toka amezaliwa alikuwa anajua siku moja atakuwa mfalme. Mama yake amekuwa malkia akiwa na miaka 21 na yeye amepata akiwa na 72.

Chagua mchongo mmoja utakao enda nao uzeeni, wabongo unaweza kuta umefanya vitu kibao, anza kidogo kidogo lenga kukuwa zaidi. Prune yale yote yasiyo na maana.
 
Noted
 
Mrembo katika watu walioeleza vizuri ni wewe
 
miaka 41 bado unanafasi ya kuwa na imani juu ya vile ambavyo unatamani kuvifanikisha katika maisha yako. familia yako (mke na watoto wako watatu) ndio chachu kwako - motivation ya kukufanya uamke kila siku kupambana na ndoto zako. Mafanikio ni mipango!
 
Hivi ukiwa malkia au mfalme, kumwachia mtu mpaka ufe? Kama ndivyo, je, Mungu akikupa umri mrefu, mathalani miaka 120, utaendelea kushikilia huo umalkia au ufalme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…