Hivi kwa umri wa miaka 41 niliofikisha naweza kutoboa maisha au ndio basi tena?

Olewa tu labda unaweza kutoboa kupitia mumeo.
 
Kuwa tu na familia ni maendeleo nayo kuna wengine wa age yako hata familia hawana na income hawana
 
unaweza kutoboa cha msingi kujuannn unahitaji na wapi unaweza kutimiza malengo yako
 
Namshukuru Mungu nyumba ninayo mkuu. Kwa malazi tu, familia inalala pazuri.
Kama nyumba unayo ushatoboa bado Kagari na registered fixed bussines,wewe usha toboa kabisa,
KITANZANIA.
kwa wenzetu huko bila kutengeneza jambo likawa la kimataifa wanaona bado kabisa,maana nyumba Kagari is a basic and a must components.
 
Kama nyumba unayo ushatoboa bado Kagari na registered fixed bussines,wewe usha toboa kabisa,
KITANZANIA.
kwa wenzetu huko bila kutengeneza jambo likawa la kimataifa wanaona bado kabisa,maana nyumba Kagari is a basic and a must components.
Unamtia moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani umeacha kuishi?
 
Hivi ukiwa malkia au mfalme, kumwachia mtu mpaka ufe? Kama ndivyo, je, Mungu akikupa umri mrefu, mathalani miaka 120, utaendelea kushikilia huo umalkia au ufalme?
ndio maana wanaosubiria wawe wa pole zamani za kale si walikuwa wanauana ili kuupata uongozi mapema, ila uzee, maradhi ni sababu ya kuretire.
 
Mkuu huu mtanamo wako mhhhhh
 
Bado sana mbona ndo kwanza maisha yanaanzaa
 
Inategemea na malengo yako; ukiona wengine wameamua mpaka kuwa chawa, lengo ni kutimiza mahitaji yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…