MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Apeche alolo dah kaka .[emoji16]Kitanzania huyo ni tajiri,wako watu wengi sana wana 60-75 tena Kwa asilimia kubwa sitaji wako apeche alolo,mungu awasaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apeche alolo dah kaka .[emoji16]Kitanzania huyo ni tajiri,wako watu wengi sana wana 60-75 tena Kwa asilimia kubwa sitaji wako apeche alolo,mungu awasaidie.
Vipi gari je lipo? Au ndo ushakua mwana israeli? Mambo ya kutembea miaka 40+ kwa miguu...🤣🤣🤣🤣Namshukuru Mungu nyumba ninayo mkuu. Kwa malazi tu, familia inalala pazuri.
Hahaha mkuu unajua kweli kama wewe akili hauna 🤣🤣🤣Kama ikishindikana kutoboa maisha toboa hata puto
Dah...kwanza tukibaliane....kutoboa ni kuwa vipi? Maana wengine tunadhani tumetoboa tayari 🤣🤣🤣🤣Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41?
Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu.
Naanza kuona Kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia.
Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi Kuna possibility ya kutoboa kwa umri huo? Au ndio nishazeeka Tena!
Viwango vya Mafanikio vinatofautiana kutegemea historia za watu walikotoka.Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41?
Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu.
Naanza kuona Kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia.
Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi Kuna possibility ya kutoboa kwa umri huo? Au ndio nishazeeka Tena!
Acha kumkatisha tamaa Jamaa yetu,kwa umri huo Bado ana muda wa kutosha.Ikiwa mzee Mwinyi mwenye miaka 95,sasa hivi bado anapanda Mikorosho,sasa utasemaje kwa mwenye 41?.Mada kama hizi utakuta mfano wa mtu mmoja tu mzee wa KFC hawezi kukosekana......ila kiukweli mzee 41 yrs meli inazama inaelekea Nungwi.
Mchungaji Mwaisapile alitoboa akiwa na miaka 75Wana JF hivi kuna uwezekano wa kufanikiwa kiuchumi unapokuwa na umri wa kuanzia 41?
Mpaka sasa nina mke na watoto watatu. Sina shughuli rasmi, nabangaiza tu.
Naanza kuona Kama ndoto yangu ya kuwa na mafanikio kiuchumi inafifia.
Swali langu ni kwenu ninyi Wana JF. Hivi Kuna possibility ya kutoboa kwa umri huo? Au ndio nishazeeka Tena!
Duh mkuu mbona wengi tu wana umri huo na zaidi wanatembea kwa miguu?Vipi gari je lipo? Au ndo ushakua mwana israeli? Mambo ya kutembea miaka 40+ kwa miguu...🤣🤣🤣🤣
Watu wote duniani tuna masaa 24 kwa siku.Maisha yanachanganya Sana! Muda wa utafutaji ni mfupi sana- tunatumia muda mwingi Sana shule.
Miaka 41 ni mingi kiasi, umri huu kwenye mpira ni Kama kipindi Kwanza dk za nyongeza! ukipiga hesabu kwa mtu aliesoma mpaka chuo, ni takribani una miaka 15 katika utafutaji.
Miaka 15 ni michache sana, hasa ukitokea hizi familia zetu za Tozo! - na huna kipaji- hebu chukulia ulimaliza chuo ukiwa na 25, ukapata kazi baaada ya miaka miwili. Mshahara laki nane!
Utafute chumba, ununue kitanda , ununue TV, ulipe mkopo, ukarabati nyumba ya wazazi, ujirushe kidogo- ukishituka miaka 30.
Unaingia kwenye ndoa- Kisha familia , mtoto akifika la tatu tu, tayari una miaka 40.
Hapo bado hujajenga na kusomesha! na bado miaka 20 usitaafu!
Ukifika 55- hicho ni kipindi Cha pili, 60 ni dk za nyongeza,- 60+. ni penati
Alafu ni kamzunguko sasa- watoto wako nao wanakuja fata mtiririko huu huu!
Mwisho wanasema eti , inawezekana kufanikiwa kiuchumi ila Inahitaji muda, Afya njema, jitihada, mipango, na kumuomba Mungu akupe umri mrefu
Sijui kina Bakhresa walifanyaje! Maana jamaa tajiri kitambo!
Labda umwambie Joe Biden wakati ana 41yrs alikuwa wapi na ana nini.Jiulize Jo Biden ana umri Gani? ama huyu Mfalme mpya wa Uingereza ana umri gani? japo bado alikua anakaa kwao, maisha hayana fomula kutoboa ilimradi unaendelea kukomaa bila kukata tamaa Laizer mzee wa Tanzanite naye unamkumbuka? katoboa akiwa na umri gani , yani wabongo kwa kujikataa mapema hamjambo, komaa
Hili swali analikwepa. Hata mimi nilimuuliza.Mkuu kwako kutoboa ni kuwa vipi au kumiliki nini?