Hivi kwani Mungu anajibu maombi mabaya?

Maneno yanaumba hata kama sio Mungi basi shetani nae anaweza kupita nayo.
 
Mungu hajibu maombi mabaya. James 4:3 inasema "You ask and do not receive, because you ask wrongly, to spend it on your passions."

Maombi mabaya—yanayochochewa na ubinafsi, chuki, au tamaa—hayaambatani na mapenzi ya Mungu, na hivyo hayajibiwi.

Mungu si ATM ya matamanio,, He responds to prayers aligned with His will, not destructive desire
 
Leo ndio nimesoma andiko hili.

Yaani kiufupi hata mumeo akikuchiti unaweza ukamuombea AFE.

wee ni binti mnoma sana tafadhali naomba nikukumbatie
 
J
Jibu vizuri bila makasiriko kijana, haya nishaelewa now, kwamba kipindi unasoma ndo mlikuwa na hali ngumu, ikaja kuwa nafuu baadae
 
Pia bado hujajibu, mlimpa kazi?
 
upo sawa mkuu 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…