😂😂😂Hapana siku hizi nimeshauona mkono w
Aiseee. Yaani 2012 ulikuwa darasa la 4 😁😁😁😄Wakuu habari za kuamka....
Mwenzenu najiskia vibaya sana sana sana yaani vibaya mnooo.. Natamani hata nisingekua nimeshika simu leo,. Kuna mtu kaweka status "Forever in our hearts" kampost mtu ambaye alifariki 2012 hadi nilishamsahau,. Nilikua mtoto lakini huyu mtu kila siku nilikua namuombea kwa Mungu afe,.
Ilikua hivi,. Nakumbuka Kabla ya likizo ya pasaka nlikua darasa la nne by then.. Tulikua tunafanya mitihani ya Joint shule nyingi nyingi na wale wanaokuwa topten mnaitwa mnapewa zawadi mnashangiliwa na kombe mnapewa kurudi nalo shuleni
Hiyo siku na mimi nilipass nikawa nominated kati ya ambao wataenda kuchukua zawadi,. Mda tunajiandaa tukaanza kujisafisha yaani kama kufuta viatu, kujiweka tu vizuri, nikatafuta lesso yangu nifutie viatu sikuiona.. Huyu binti ambae ni marehemu Alitoa lesso watu wote wakawa wamefutia viatu mimi nlikua wa mwisho ikafika zamu yangu huku najifuta nikaangalia vizuri nikaijua ni lesso yangu ambayo nlikua naitafuta, nikamwambia hii mbona lesso yangu nlikua naitafuta umeipata wapi? Si akakasirika akaninyang' anya nikamwambia basi nikupa iwe yako niachie tu nimalizie kufutia maana ndio nlikua nimeitwa niende mbele Akagoma .
Imagine nimeenda Mbele yatu wengi wanafunzi wa karibia shule 10 na walimu ,kiatu kimoja kisafi kingine kina Vumbi halafu yeye na rafiki zake walikua wananicheka 😭😭😭,. Ile siku hata sikuifurahia nilivyotoka tu nikapiga picha (na kiatu changu kimoja kina vumbi mwenyewe) nikarudi zangu nyumbani hata sikuongea na mtu...
To be honest tangu sikuile nilikua namchukia , mda wa kusali sala za jioni au asubuhi au kanisani nlikua namwambia Mungu kwanini watu wenye Roho mbaya unawaacha waishi,. Nlikua namwomba Mungu kila siku yule binti afe,. nilikua simpendi yaani kila siku nlikua namwambia Mungu huyu mtu asipokufa mimi nitaacha kusali maana ni anaroho mbaya kwanini asife tu?
Wakati tunakaribia kufunga shule December alianzaga kuumwa akawa na vidonda vidonda,nywele zake zilikua zinayonyoka Alikua anababuka midomo, Mara shuleni haji,. kwa wiki anaweza aje siku moja na akifika basi kuna mda anaanza kuumwa mara anatapika mzazi wake anakuja kumchukua, tulikua tunaambiwa Fulani anaumwa mkipata nafasi mkamwone me sikwenda hata siku moja, Kwanza nlikua nafurahi rohoni namwambia Mungu saizi ndio muda wake huu wa kufa, Wakati tupo darasa la tano alifariki nikawa najiskia amani kwanza hadi nilishamsahau... Tulikujaga tu kujua baadae kumbe alikua ni HIV POSITIVE tangu alivyozaliwa,.
Hapa nimekaa najiskia tu huzuni maybe hatakama alikua HIV positive pangine angeishi mda mrefu ila maombi yangu yalikuwa yanapigilia misumari mpaka akafa mwee!!,. Nimetoka kumwambia Mungu kama maombi yangu yalihusika anisamehe maana sikua najua nafanya nini kwa kipindi kile ni utoto tu😒🙏🙏
Ila sidhani kama maombi mabaya huwa yanaskilizwa🤔🤔
Kama wew ni dem hamna shida hata mkisagana 😊Naomba niwe rafiki wa make wako mkuu kisha atakueleza kutachomtokea 😅
TrueMkuu ukiwa mtu wa Kila mtu ni hatari hapa duniani hivyo Lazima u-maintain distance kidogo ndipo mambo yaende.
Hutakiwi kuogopa kifo.Soma biblia itakupa mengi kuhusu kufa ni faida.kwamba ukiwa member wa Jf ndio inafanyaje anko?😃😂😂😂😂
Hahah yupo wa mwisho hajaoa mwezi wa 7 huu anamaliza chuo pia, but you know what... siwezi ruhusu awe na relationship yoyote na mtu anajuana mpaka na akina mzabzab, mbagga jr, mpaji mungu, secretarybird.😜 Awee utamwonea sana ni mkimya mno 😅😅😅 dogo mwenyew sijui kama anazijua hata mbususuhapo sawa😃😃😃,. Unakuwa huru zaidi
Kingine hongera sana,. vipi kijana wako ameshaoa?😛😛😛 ( asking for a friend )
ngoja nikipata wasaha nitapitia hili andiko lako binti yanguWakuu habari za kuamka....
Mwenzenu najiskia vibaya sana sana sana yaani vibaya mnooo.. Natamani hata nisingekua nimeshika simu leo,. Kuna mtu kaweka status "Forever in our hearts" kampost mtu ambaye alifariki 2012 hadi nilishamsahau,. Nilikua mtoto lakini huyu mtu kila siku nilikua namuombea kwa Mungu afe,.
Ilikua hivi,. Nakumbuka Kabla ya likizo ya pasaka nlikua darasa la nne by then.. Tulikua tunafanya mitihani ya Joint shule nyingi nyingi na wale wanaokuwa topten mnaitwa mnapewa zawadi mnashangiliwa na kombe mnapewa kurudi nalo shuleni
Hiyo siku na mimi nilipass nikawa nominated kati ya ambao wataenda kuchukua zawadi,. Mda tunajiandaa tukaanza kujisafisha yaani kama kufuta viatu, kujiweka tu vizuri, nikatafuta lesso yangu nifutie viatu sikuiona.. Huyu binti ambae ni marehemu Alitoa lesso watu wote wakawa wamefutia viatu mimi nlikua wa mwisho ikafika zamu yangu huku najifuta nikaangalia vizuri nikaijua ni lesso yangu ambayo nlikua naitafuta, nikamwambia hii mbona lesso yangu nlikua naitafuta umeipata wapi? Si akakasirika akaninyang' anya nikamwambia basi nikupa iwe yako niachie tu nimalizie kufutia maana ndio nlikua nimeitwa niende mbele Akagoma .
Imagine nimeenda Mbele yatu wengi wanafunzi wa karibia shule 10 na walimu ,kiatu kimoja kisafi kingine kina Vumbi halafu yeye na rafiki zake walikua wananicheka 😭😭😭,. Ile siku hata sikuifurahia nilivyotoka tu nikapiga picha (na kiatu changu kimoja kina vumbi mwenyewe) nikarudi zangu nyumbani hata sikuongea na mtu...
To be honest tangu sikuile nilikua namchukia , mda wa kusali sala za jioni au asubuhi au kanisani nlikua namwambia Mungu kwanini watu wenye Roho mbaya unawaacha waishi,. Nlikua namwomba Mungu kila siku yule binti afe,. nilikua simpendi yaani kila siku nlikua namwambia Mungu huyu mtu asipokufa mimi nitaacha kusali maana ni anaroho mbaya kwanini asife tu?
Wakati tunakaribia kufunga shule December alianzaga kuumwa akawa na vidonda vidonda,nywele zake zilikua zinayonyoka Alikua anababuka midomo, Mara shuleni haji,. kwa wiki anaweza aje siku moja na akifika basi kuna mda anaanza kuumwa mara anatapika mzazi wake anakuja kumchukua, tulikua tunaambiwa Fulani anaumwa mkipata nafasi mkamwone me sikwenda hata siku moja, Kwanza nlikua nafurahi rohoni namwambia Mungu saizi ndio muda wake huu wa kufa, Wakati tupo darasa la tano alifariki nikawa najiskia amani kwanza hadi nilishamsahau... Tulikujaga tu kujua baadae kumbe alikua ni HIV POSITIVE tangu alivyozaliwa,.
Hapa nimekaa najiskia tu huzuni maybe hatakama alikua HIV positive pangine angeishi mda mrefu ila maombi yangu yalikuwa yanapigilia misumari mpaka akafa mwee!!,. Nimetoka kumwambia Mungu kama maombi yangu yalihusika anisamehe maana sikua najua nafanya nini kwa kipindi kile ni utoto tu😒🙏🙏
Ila sidhani kama maombi mabaya huwa yanaskilizwa🤔🤔
weeee eti hazijui mbususu,. Jidanganye😂😂😂.Tena wapole ndio wa kuogopwa,. Unaweza kuta anamiliki limshangazi ,.Hahah yupo wa mwisho hajaoa mwezi wa 7 huu anamaliza chuo pia, but you know what... siwezi ruhusu awe na relationship yoyote na mtu anajuana mpaka na akina mzabzab, mbagga jr, mpaji mungu, secretarybird.😜 Awee utamwonea sana ni mkimya mno 😅😅😅 dogo mwenyew sijui kama anazijua hata mbususu
Haiwezekan, akirud home sijawah sikia hata kesi, hata fununu yaan anakuwag busy na mambo yake tu hata kutembea vijiweni tu hawezi akiingia ndani anaweza kutoka jioni. Mbona kaka yake hadi kesi za wake za watu nimeletewa sana.weeee eti hazijui mbususu,. Jidanganye😂😂😂.Tena wapole ndio wa kuogopwa,. Unaweza kuta anamiliki limshangazi ,.
Sema kama anamaliza chuo mwaka huu huyo atakuwa ni mdogo kwangu au agemate so hata rafiki yangu hawatawezana😜
weeee eti hazijui mbususu,. Jidanganye😂😂😂.Tena wapole ndio wa kuogopwa,. Unaweza kuta anamiliki limshangazi ,.
Sema kama anamaliza chuo mwaka huu huyo atakuwa ni mdogo kwangu au agemate so hata rafiki yangu hawatawezana😜
pole, mimi kipindi nasoma, nilikuwa sina sukari wala blue band/tanbond ya uji (wale wa bodi wanajua), nilitoka kijijini balaa, kuna siku jamaa mmoja maisha safi toka DSM alisema nimfulie nguo zake atanipa sukari kwa sababu yeye walikuwa wanampa katoni nzima anakuja nayo kwenye tranka. nikafua nguo zote siku ile halafu akakataa kunipa sukari. pesa nilikuwa sina ila Mungu alinijalia akili nilikuwa nawaongozea darasa zima, sijawahi kusoma tuition nikirudi likizo ni jembe sisomi wenzangu wakienda mijini wanasoma tuition ila wakirudi mimi nawaongozea.Wakuu habari za kuamka....
Mwenzenu najiskia vibaya sana sana sana yaani vibaya mnooo.. Natamani hata nisingekua nimeshika simu leo,. Kuna mtu kaweka status "Forever in our hearts" kampost mtu ambaye alifariki 2012 hadi nilishamsahau,. Nilikua mtoto lakini huyu mtu kila siku nilikua namuombea kwa Mungu afe,.
Ilikua hivi,. Nakumbuka Kabla ya likizo ya pasaka nlikua darasa la nne by then.. Tulikua tunafanya mitihani ya Joint shule nyingi nyingi na wale wanaokuwa topten mnaitwa mnapewa zawadi mnashangiliwa na kombe mnapewa kurudi nalo shuleni
Hiyo siku na mimi nilipass nikawa nominated kati ya ambao wataenda kuchukua zawadi,. Mda tunajiandaa tukaanza kujisafisha yaani kama kufuta viatu, kujiweka tu vizuri, nikatafuta lesso yangu nifutie viatu sikuiona.. Huyu binti ambae ni marehemu Alitoa lesso watu wote wakawa wamefutia viatu mimi nlikua wa mwisho ikafika zamu yangu huku najifuta nikaangalia vizuri nikaijua ni lesso yangu ambayo nlikua naitafuta, nikamwambia hii mbona lesso yangu nlikua naitafuta umeipata wapi? Si akakasirika akaninyang' anya nikamwambia basi nikupa iwe yako niachie tu nimalizie kufutia maana ndio nlikua nimeitwa niende mbele Akagoma .
Imagine nimeenda Mbele yatu wengi wanafunzi wa karibia shule 10 na walimu ,kiatu kimoja kisafi kingine kina Vumbi halafu yeye na rafiki zake walikua wananicheka 😭😭😭,. Ile siku hata sikuifurahia nilivyotoka tu nikapiga picha (na kiatu changu kimoja kina vumbi mwenyewe) nikarudi zangu nyumbani hata sikuongea na mtu...
To be honest tangu sikuile nilikua namchukia , mda wa kusali sala za jioni au asubuhi au kanisani nlikua namwambia Mungu kwanini watu wenye Roho mbaya unawaacha waishi,. Nlikua namwomba Mungu kila siku yule binti afe,. nilikua simpendi yaani kila siku nlikua namwambia Mungu huyu mtu asipokufa mimi nitaacha kusali maana ni anaroho mbaya kwanini asife tu?
Wakati tunakaribia kufunga shule December alianzaga kuumwa akawa na vidonda vidonda,nywele zake zilikua zinayonyoka Alikua anababuka midomo, Mara shuleni haji,. kwa wiki anaweza aje siku moja na akifika basi kuna mda anaanza kuumwa mara anatapika mzazi wake anakuja kumchukua, tulikua tunaambiwa Fulani anaumwa mkipata nafasi mkamwone me sikwenda hata siku moja, Kwanza nlikua nafurahi rohoni namwambia Mungu saizi ndio muda wake huu wa kufa, Wakati tupo darasa la tano alifariki nikawa najiskia amani kwanza hadi nilishamsahau... Tulikujaga tu kujua baadae kumbe alikua ni HIV POSITIVE tangu alivyozaliwa,.
Hapa nimekaa najiskia tu huzuni maybe hatakama alikua HIV positive pangine angeishi mda mrefu ila maombi yangu yalikuwa yanapigilia misumari mpaka akafa mwee!!,. Nimetoka kumwambia Mungu kama maombi yangu yalihusika anisamehe maana sikua najua nafanya nini kwa kipindi kile ni utoto tu😒🙏🙏
Ila sidhani kama maombi mabaya huwa yanaskilizwa🤔🤔
So mlimpa kazi?pole, mimi kipindi nasoma, nilikuwa sina sukari wala blue band/tanbond ya uji (wale wa bodi wanajua), nilitoka kijijini balaa, kuna siku jamaa mmoja maisha safi toka DSM alisema nimfulie nguo zake atanipa sukari kwa sababu yeye walikuwa wanampa katoni nzima anakuja nayo kwenye tranka. nikafua nguo zote siku ile halafu akakataa kunipa sukari. pesa nilikuwa sina ila Mungu alinijalia akili nilikuwa nawaongozea darasa zima, sijawahi kusoma tuition nikirudi likizo ni jembe sisomi wenzangu wakienda mijini wanasoma tuition ila wakirudi mimi nawaongozea.
Mungu alinibariki sana sana, kuna siku nikajakuta yule jamaa alininyima ujira wa sukari, anaomba kazi ya udereva kwenye kampuni yetu, amechoka mbaya wazazi wake walikufa, mali zao zilitapanywa na ndugu, alifeli form four hana mbele wala nyuma. nilimwonea huruma sana. nimefundsha watoto wangu wamheshimu na kutenda mema kwa kila mtu wanayekutana naye maishani aisee.
Namtoa mfuko wa uzazi kwa bonge la dushelele 😎.Kama wew ni dem hamna shida hata mkisagana 😊