Hivi kwani Mungu anajibu maombi mabaya?

..........ilikuwa ni ajili ya kitoto ndo maana ulimuombea kifo, sasa tumekuwa lakini nakiona bado una hasira na kisirani na hii ndo shida kubwa itakayokutafuna kiroho na kimwili, nenda church katoe sadaka na maombi maalum ya kutoa roho chafu.......
 
😄😄muwe mnaanza kwa kutuamkia babu zenu aisee yaani 2012 uko std 5
By the way Mungu hutenda kwa mapenzi Yake na sio ya kwetu, ukiomba kitu ukapewa jua Mungu ameona unastahili kama hustahili hakupi so relax mtoto mzuri Leejay49
 
Miaka 90 ijayo huenda ikawa 100% mkuu, au hiyo nukta moja umeiweka just in case?
Kuna exceptions.
Java:
try {
    // Code that might throw an exception
} catch (ExceptionType e) {
    // Handle the exception
} finally {
    // Optional: Code that always executes
}
 
Hata ukienda kwa mganga akuangalie / akutizame ukiwa na deni mtaalamu atakwambia kalipe deni kwanza then ndio urudi kufanyiwa duwa.

So kudhulumu ama kutapeli sio Jambo jema Sana kwenye ulimwengu wa roho.
 
Ngoja hii KAULI nangojea ASKOFU GWAJIMA saga.

Ndipo ntaamin ""ogopa Sana jicho/macho ya watu na Dua mbaya zinatokea Sanaa""

Aliwazalo mjinga ndio litakalo mtokea msemo wa wahenga.
 
Hatareee sanaa mkuu, UWE UNANIPA SHIKAMOO YANGU 🤓 .

usiwe na HASIRA Sana sana uwe mtu wa ku take it easy.
 
Dah,
Uwe na Amani kama uliomba toba,Mungu atakusamehe.
 
Hatareee sanaa mkuu, UWE UNANIPA SHIKAMOO YANGU 🤓 .

usiwe na HASIRA Sana sana uwe mtu wa ku take it easy.

nowdays niko na wepesi wa kusamehe na kutake vitu easy,. nazani sijui ulikua ni utoto maana hadi nlikua nimeshamsahau yule binti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…