Hivi kwani Mungu anajibu maombi mabaya?

Afadhali maana limeniwazisha sana leo aisee
 
Dah!...haya maombi ya aina hii yaelekeze kwa wale 'watekaji' Ili raia wapumue.
The thing is,.. Yanakuwa na majibu kwelii??
Maake huenda ilikuwa ni mpango wa Mungu tu katikati ya mawazo ya kibinadam(yangu)
 
We una roho mbaya sana.
 
😄😄muwe mnaanza kwa kutuamkia babu zenu aisee yaani 2012 uko std 5
By the way Mungu hutenda kwa mapenzi Yake na sio ya kwetu, ukiomba kitu ukapewa jua Mungu ameona unastahili kama hustahili hakupi so relax mtoto mzuri Leejay49
Sawa,. shikamoo Anko😃😃😃

Ni heri kama ulikua mpango wa Mungu maana hii dhambi kwangu ni nyekundu mnoo
 
Siku zake zilifika ila marehemu hasemwi vibaya japo alizidisha tabia mbovu kuiba lesso yako na kigeuza yake.
 
Achana na mambo ya marehemu mkuu.Tutakupatia urais wa nchi hii ili uendelee kula mkate wa marehemu.
 
..........ilikuwa ni ajili ya kitoto ndo maana ulimuombea kifo, sasa tumekuwa lakini nakiona bado una hasira na kisirani na hii ndo shida kubwa itakayokutafuna kiroho na kimwili, nenda church katoe sadaka na maombi maalum ya kutoa roho chafu.......
kwakweli nitafanya hivyo na naamini Mungu amenisamehe kwakuwa nimeshaitubia
 
Ubaya unaouona kwa macho yako wewe, unaweza ukawa unaonekana mzuri pengine kwa macho ya mwengine.
 
Natengua kila Agano, karma ana laana in Jesus name,. My mind reprogramed since way back.

Ni kwamba nilishamsahau zamani mno accidentally tu leo nimekumbuka tukio lake,. means Mungu ana makusudi kunikumbusha alitaka nitubu na nimefanya hivyo🙏🙏🙏

So, stop scaring me please😭
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…