unawaonea huruma ukiwa upande gani wa dunia?Ninashauri awaachie Hilo jimbo au ajiunge nao. Ili Wananchi wafurahie mfumo wa chama kimoja Kama wait ndivyo walivyotaka. Ila Hadi 2025 watanzania ninawaonea huruma Sana kwenye huo mfumo wa chama kimoja.
Hawa Ghasia je?Huu mkosi mkubwa
Wenzio wamepitishwa bila kupingwa..
Wengine polisi wameingiza masanduku mradi wapite...
Sasa inakuaje chama kisimsaidie na yeye??
Watatu kutoka Pemba, wawili waliopo, watano wa viti maalum jumla ni 10, sio 25.Nadhani kuna wabunge wawili watatu kutoka pemba ACT.
Otherwise kuna viti maalum kma slots 5 maybe kwa CHADEMA.
So kma hawatasusia ina maana wapinzani watakua at least 25 bungeni. So mawaziri kivuli watagawana tu, kumbuka bado kunahitajika mwenyekiti PAC atoke upinzani, kuna mnadhimu mkuu n.k watatosha tu!!
Duh pemba ni watatu!!?Watatu kutoka Pemba, wawili waliopo, watano wa viti maalum jumla ni 10, sio 25.
Amandla...
Itabidi tu apeleke huduma zote licha ya yeye kupita kwake chadema lakini bado wapo wq ccm waliompigia kura lakini hazikutosha kumpitisha mbunge wa ccm.Ubunge aendelee nao maana at the end politics is business like other business, tunamuonea tu huruma jimbo lake litakosa connection ya kupata maendeleo.JPM voice
Yule alikiuka kanuni wazi kabisa ila kwa kuwa ilikua bunge ni lao afu lipo mwishoni wakaona wamuachie tu.Uko sahihi mkuu!...ila unakumbuka sakata la Mwambe na maamuzi aliyochukua Ndugai?
Kima Jussa walisusia serikali ya umoja wa kitaifa ilihali wangepewa wote uwaziri. Ni sign of protest kuwa hukubaliani na matokeo yaliyotangazwa.Mwacheni dada wa watu aende bungeni ajiuzulu kwa sababu gani?
Kina nani hao wanaopendekeza ajiuzuluWakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.
Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia na ndicho alichokua anapigania muda wote wa kampeni.
Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
Chadema ndiyo kina naniChadema acheni ujinga ,MNA mambo ya ajabu sana, yaani mnataka mwenzenu , akatae ajira wakati nyie mlishajilimbikizia
Pumbaff
Utampa salary yako ???!!Awaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Unawaonea huruma ya nini?? Huo ni unafiki mtupuNinashauri awaachie Hilo jimbo au ajiunge nao. Ili Wananchi wafurahie mfumo wa chama kimoja Kama wait ndivyo walivyotaka. Ila Hadi 2025 watanzania ninawaonea huruma Sana kwenye huo mfumo wa chama kimoja.
Hata sijui. Nimequote uliposema wawili watatu kutoka Pemba. Nimechukua namba ya juu.Duh pemba ni watatu!!?
Kweli CCM imeamua liwalo na liwe
Na utaratibu/kanuni inasemaje juu ya kumvua mtu uanachama bila kutumia hisia binafsi?Mbunge anadhaminiwa na chama sio wananchi. Hta bungeni mnakaa kwa mfumo wa kichama, same to kamati. Na ndio maana Leo Mbowe akimfuta uanachama huyo dada ndio ubunge wake unafia hapi hapo.
Wakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.
Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia na ndicho alichokua anapigania muda wote wa kampeni.
Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
Mimi nadhani kama anauwezo anaweza kuachia ngazi. Akishindwa aende tu bungeni atoe hoja zinazohusu jimbo lake, akimaliza achape usingizi.Wakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.
Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia na ndicho alichokua anapigania muda wote wa kampeni.
Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
Bado mkangamyiko upo Mr BAK.