Bado mkangamyiko upo Mr BAK.
Jacob kasema anashukuru katangazwa ameshindwa, sasa hii hali inamueka huyu Mama matatani bure.
View attachment 1616107
Mama aende bungeni, pamoja na kwamba vyama vipo ila kila mtu ana maisha yake na anatafuta maisha.
Na wale walioteuliwa na NEC wakati wananchi hawakuwachagua unasemaje na hapo?. Wananchi wamenyimwa haki yao ya kuchagua.Mkuu ule uliofanyika ulikua uchaguzi na mshindi lazima atangazwe. Sasa katangazwa Aidah kashinda dhidi ya Kess wa CCM, kumyima haki yake ya kufanya kazi kuwakilisha wananchi kupitia alichokua anapigania siyo sahihi.
Na yy alikuwa mbunge wa vitu maalum chadema. Siyo mara yake ya kwanza kuwa mbungeUko sahihi ni vyema wamwache na yeye alambe posho kama wao walivyokula kwa miaka 10.
Keshasem anaweza asiende ili ccm wawe 101% kazi iendeleeeIna maana hata nafasi za Viti Maalumu CHADEMA hawatawarusu akina mama wale kwenda bungeni?
Tulizeni akili kwanza na mfikirie kwa mapana kwa maslahi ya Taifa. Mh. Aidah Khenan aachwe aende Bungeni akachape kazi na aungane na wenzie kutoka viti maalumu.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chagueni kiongozi mpinga Ruswa na udini na msipofanya hivyo wananchi watamtafuta mtu kutoka nje ya CCM, hivyo mwaka 2015 wakafanya kweli wakamchagua mtu mpinga Rushwa Magufuli na hatimaye yake mmeona. Magufuli mwaka 2015 alipata kura asimilia 58 lakini mwaka huu nafikiri asilimia itakuwa kati ya 80 na 90. Ndio maana mtu akitaka kuwa mbuge anapigana juu chini apitishwe na CCM. Hivyo muacheni Aidah aende bungeni ili awakilishe wananchi wake.Ale pesa yake ya ubunge taratibu tu hana sababu ya kupiga chini.
Kwani Chadema watakuwa na viti vingapi vya wanawake. Nafikiri Chadema kama chama is finish.Keshasem anaweza asiende ili ccm wawe 101% kazi iendeleee
Hizi hasira hazijengi. CCM wasiachwe peke yao kule ndani. Huu ususaji hautawazuia CCM kuendelea na Bunge laoKeshasem anaweza asiende ili ccm wawe 101% kazi iendeleee
Akikubali kwenda bungeni atakuwa kawasaliti Watanzania waliomuamini na kukubali kuhalalisha matokeo haramu yaliotendwa na watendaji...Wakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.
Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia na ndicho alichokua anapigania muda wote wa kampeni.
Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
Walioshinda kihalali ni wengi tu, ila mamlaka imeamua kuchafua. Na huyo waliye mtangaza wamefanya hivyo ili kuweka kumbukumbu ya kutetea uovu wao kwamba haki imefanyika. Kama aligombea kwa ajili ya maslahi yake binafsi ni sawa mwacheni aende mjengoni akabembee kwenye vile viti vyao ili mradi posho iingie atimize malengo yake. Lakini kama aligombea kwa maslahi mapana ya wananchi wenzake na taifa kwa ujumla basi ni bora awaachie hao waliojimilikisha hati miliki ya taifa ili.Wakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.
Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia na ndicho alichokua anapigania muda wote wa kampeni.
Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
La muhimu tusubir tamko la chama hapo kesho tuone itakuaje.Mkuu mimi sioni mkanganyiko wowote Mkuu. Huu uchaguzi ni BATILI na kuna ushahidi chungu nzima wa kuthibitisha hilo. Boniface hakutaka awe mshindi katika uchaguzi ambao ulijaa udhalimu wa kila aina mwanzo mwisho. Na huyo dada hana furaha pamoja na kuwa kashinda. Sijui atachukua maamuzi gani baada ya kushauriana na viongozi wa Chadema, ngoja tusubiri.
Mkuu hayo ni mengine, tuzungumzie huyu wa upinzani aliyetangazwa kashindaNa wale walioteuliwa na NEC wakati wananchi hawakuwachagua unasemaje na hapo?. Wananchi wamenyimwa haki yao ya kuchagua.
Hilo ndilo la kufanyia kazi na siyo figisu.Ina maana hata nafasi za Viti Maalumu CHADEMA hawatawarusu akina mama wale kwenda bungeni?
Tulizeni akili kwanza na mfikirie kwa mapana kwa maslahi ya Taifa. Mh. Aidah Khenan aachwe aende Bungeni akachape kazi na aungane na wenzie kutoka viti maalumu.
Ya nini sasa afanye hivyo?ajiuzulu tu,halafu ajiunge kule kwa wale wengi kisha agombee kwa chama cha wengi,ulaji wake utakuwa palepale,haina maana kwenda mjengoni wakati wenzako wengi wamefanyiwa uhuni
Hizi fikra ni za kiwivu hivi!Akikubali kwenda bungeni atakuwa kawasaliti Watanzania waliomuamini na kukubali kuhalalisha matokeo haramu yaliotendwa na watendaji...
La muhimu tusubir tamko la chama hapo kesho tuone itakuaje.
Lakini huyu dada haki yake ya msingi ya kua na ubunge mkononi ibaki palepale.
Wanasema tu amekiuka maazimio ya kamati kuu basi bunge linapelekewa minutes za kumvua huyo mtu uanachama.Na utaratibu/kanuni inasemaje juu ya kumvua mtu uanachama bila kutumia hisia binafsi?
Ahsante..Kwa namna alivyopambana Jana na Juzi hawezi kujiuzuru. Amerudisha heshima kwa Wana Nkasi. Kessy alikuwa anatukana watu Sana. Ilifika stage akaahidi kuwa akipita watakoma.
Akawaambia watu wasimchague Aidah kwa kuwa anavuja kila mwezi, Jambo lililowakasirisha wamama. Kama hiyo haitoshi, akagawa zawadi ya chupi kwa kina mama. Jambo hili liliwaudhi Sana akina mama. Kessy hafai hata kuwa Mwenyekiti wa Kijiji.