kwa hiyo jina Daby kwenye bidhaa inayoitwa Daby litaifanya iuzwe bei gali?Kwa mfano ukianzisha maji ukayaita daby..hyo daby ni brand..kinachofuata unataka bidhaa yako ikae wapi sokoni,iwe ya watu matawi,kati au kajamba nani..hiyo wanaita positioning..
kumbe vya kuchezea? mimi ungeniambia swala laIla iphone shughuli nyingine ndugu,vitu vingi-vya kuchezea sema tu havina maana kwa mtu mwenye mambo mengi
Sasa privacy nani anajali..zaidi utakuta nude pics tu..security hata samsung wanayo..simu ikishafikia kuuzwa dola 1000+ ..hapo security sharti iwepokumbe vya kuchezea? mimi ungeniambia swala la
PRIVACY & SECURITY ningekuelewa.
Utakovyoiposition hiyo bidhaa ndo bdae ughali utafuata au urahisi kama maji ya maisha,masafikwa hiyo jina Daby kwenye bidhaa inayoitwa Daby litaifanya iuzwe bei gali?
.naanza kuelewa mkuu
nipe mautundu ya kupata hiyo security stong ya samsung kama ya appleSasa privacy nani anajali..zaidi utakuta nude pics tu..security hata samsung wanayo..simu ikishafikia kuuzwa dola 1000+ ..hapo security sharti iwepo
Samsung galaxy 7 edge+nipe mautundu ya kupata hiyo security stong ya samsung kama ya apple
Maji ya kilimanjaro yana chumvi?..bongo maji gani ni mazuri??..uhai nini?Kitu kitu inaitwa 'positioning' kwenye soko..kama maji ya kilimanjaro yanavyojifanya matawi wakati yana chumvi
Kuna siku nimeona wamarekani wanalalamika samsung inakupa zaid ya iphone,ina quality na bei nafuu..ila wananunua iphone kishingo upande sababu ni yaoApple hajawahi kutoa takakata, Apple products are designed in California and manufactured in China. Sio Samsung ambayo ipo kila sehemu, hata Azerbaijan ipo.
Sio rahisi ku-compromise quality ya Apple
Shukrani...Utakovyoiposition hiyo bidhaa ndo bdae ughali utafuata au urahisi kama maji ya maisha,masafi
Uhai yana chumvi zaidi..kunywa kilimanjaro mfululizo miezi mitatu..uone utakavyopunguza uwezo wa kula kwa kushikwa na kichefuchefuMaji ya kilimanjaro yana chumvi?..bongo maji gani ni mazuri??..uhai nini?
Vitu gani hivyo mfano,ambavyo huvipati kwenye simu nyingine za level hizo?Ila iphone shughuli nyingine ndugu,vitu vingi-vya kuchezea sema tu havina maana kwa mtu mwenye mambo mengi
Hahahaaa hayaShukrani...
naona kwasababu toka mwanzo swali halikuwa lako tumeshindwa kuelewana.
mimi bwana nilifeli G.S... sijui sina akili sijui nini.. nilikuwa simkubalii mwalimu Wangu causes za poverty eti ni Poor education..low income...sasa si ndiyo umaskini wenyewe tunaoujadili..
basi nikafeli bwana...sasa hapa naona napelekwa kule kule. asante.
Hapa nafikiri ukigugo utapata majibu yoteVitu gani hivyo mfano,ambavyo huvipati kwenye simu nyingine za level hizo?
[emoji122][emoji122][emoji122]kumbe vya kuchezea? mimi ungeniambia swala la
PRIVACY & SECURITY ningekuelewa.
Maji ni kucheki pH na Sodium(Na) level ambapo kilimanjaro ina sodium level nyingi hivyo kilimanjaro sio poa kwa watu wa hypertension.Maji ya kilimanjaro yana chumvi?..bongo maji gani ni mazuri??..uhai nini?
mjomba umewaza nn [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi siwezi kutengeneza bidhaa mbadala kwa kutumia mapera?