Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

Kwa mfano ukianzisha maji ukayaita daby..hyo daby ni brand..kinachofuata unataka bidhaa yako ikae wapi sokoni,iwe ya watu matawi,kati au kajamba nani..hiyo wanaita positioning..
kwa hiyo jina Daby kwenye bidhaa inayoitwa Daby litaifanya iuzwe bei gali?
.naanza kuelewa mkuu
 
kumbe vya kuchezea? mimi ungeniambia swala la

PRIVACY & SECURITY ningekuelewa.
Sasa privacy nani anajali..zaidi utakuta nude pics tu..security hata samsung wanayo..simu ikishafikia kuuzwa dola 1000+ ..hapo security sharti iwepo
 
Apple hajawahi kutoa takakata, Apple products are designed in California and manufactured in China. Sio Samsung ambayo ipo kila sehemu, hata Azerbaijan ipo.
Sio rahisi ku-compromise quality ya Apple
 
Apple hajawahi kutoa takakata, Apple products are designed in California and manufactured in China. Sio Samsung ambayo ipo kila sehemu, hata Azerbaijan ipo.
Sio rahisi ku-compromise quality ya Apple
Kuna siku nimeona wamarekani wanalalamika samsung inakupa zaid ya iphone,ina quality na bei nafuu..ila wananunua iphone kishingo upande sababu ni yao
 
Utakovyoiposition hiyo bidhaa ndo bdae ughali utafuata au urahisi kama maji ya maisha,masafi
Shukrani...

naona kwasababu toka mwanzo swali halikuwa lako tumeshindwa kuelewana.

mimi bwana nilifeli G.S... sijui sina akili sijui nini.. nilikuwa simkubalii mwalimu Wangu causes za poverty eti ni Poor education..low income...sasa si ndiyo umaskini wenyewe tunaoujadili..

basi nikafeli bwana...sasa hapa naona napelekwa kule kule. asante.
 
Maji ya kilimanjaro yana chumvi?..bongo maji gani ni mazuri??..uhai nini?
Uhai yana chumvi zaidi..kunywa kilimanjaro mfululizo miezi mitatu..uone utakavyopunguza uwezo wa kula kwa kushikwa na kichefuchefu
 
Shukrani...

naona kwasababu toka mwanzo swali halikuwa lako tumeshindwa kuelewana.

mimi bwana nilifeli G.S... sijui sina akili sijui nini.. nilikuwa simkubalii mwalimu Wangu causes za poverty eti ni Poor education..low income...sasa si ndiyo umaskini wenyewe tunaoujadili..

basi nikafeli bwana...sasa hapa naona napelekwa kule kule. asante.
Hahahaaa haya
 
Maji ya kilimanjaro yana chumvi?..bongo maji gani ni mazuri??..uhai nini?
Maji ni kucheki pH na Sodium(Na) level ambapo kilimanjaro ina sodium level nyingi hivyo kilimanjaro sio poa kwa watu wa hypertension.
 
Wanapia vitu vingi adimu ambavyo simu zingine hupati
Mfano kwa mkulima apple wana app ya kusoma cards za kupima kiasi cha dawa kilichopulizwa kwenye mmea na kukupa majibu kama ni high, mid au low

Siku za nyuma pia ilikua na app ya kupima fruit maturity yaani unaigusisha na tunda labda tikiti maji and inakupa majibu kama limeiva au lah

So naamini hata wa sector zingine kama ujenzi, biashara apple wana apps za kukusaidia ambazo kwenye simu zingine hupati
 
Hata android sasa naona snap card iko sema sas tazama ukisearch zinakuja ngapi, yenyewe ni moja tu hapo nyingine takataka tu
Screenshot_20180703-160802_Google%20Play%20Store.jpg
Screenshot_20180703-160913_Google%20Play%20Store.jpg
 
Back
Top Bottom