Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
kwa hiyo jina Daby kwenye bidhaa inayoitwa Daby litaifanya iuzwe bei gali?Kwa mfano ukianzisha maji ukayaita daby..hyo daby ni brand..kinachofuata unataka bidhaa yako ikae wapi sokoni,iwe ya watu matawi,kati au kajamba nani..hiyo wanaita positioning..
.naanza kuelewa mkuu