yani hujajibu nilicho uliza nimeuliza baada ya ku install hiyo app unagusisha hilo tunda kwenye sensor ipi ili kujia kuwa dawa iliyo puliwa ni kiasi gani?Uko nyuma sana ki technology, nimekuwekea mfano hiyo snap card, kwenye apple inafanya mautundu kibao sio sawa na hii ya android.
Pia apple utalinganisha na simu za bei range yake yaan kama apple ya milioni basi italingana na android device ya milioni ila huwezi linganisha apple na itel, tecno, infinix nope
Hapo hata suala la bei utaona sio huge difference
mkuu NFC kwenye Samsung/Android phones ushawahi itumia!?..hii inatumia sensor ipi kwenye Apple? au unagusisha kwenye kioo? hhahahaha
Kwa sababu zina ubora wa hali ya juu kabisa.Wakuu kichwa cha habari chahusika.
Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia windows, android.
Hapo no3. acha kabisa Password uso au fingerprint mchezoo haha lazma mchepukaji atunze usalama wake lol
badomkuu NFC kwenye Samsung/Android phones ushawahi itumia!?..
I believe Apple watakua wamefikiria hilohahahah.... very risk (finger print) mtu anakuvizia umelala anagusisha midole yako... bora PIN CODE
Market segmentationBidhaa za apple zmetengenezwa special kwa consumers wenye uwezo wa kuzi afford sio kwa kila binadamu.
Brand ni kitu chochote kinachoitambulisha bidhaa na kuitofautisha na bidhaa nyinginezo zilizopo katika soko kwa mfano jina, logo ,design ,ladha,harufu ,sound,design na vyote hivi huunda brand etc...Shukrani...
naona kwasababu toka mwanzo swali halikuwa lako tumeshindwa kuelewana.
mimi bwana nilifeli G.S... sijui sina akili sijui nini.. nilikuwa simkubalii mwalimu Wangu causes za poverty eti ni Poor education..low income...sasa si ndiyo umaskini wenyewe tunaoujadili..
basi nikafeli bwana...sasa hapa naona napelekwa kule kule. asante.
nimeona watu wengi wana base katika QUALITY (display,sijui TUNDA lina bei and other things) kwa upande wangu BIDHAA za APPLE ni ghari kwa sababu zisizo zidi 4..
1-SECURITY (ULINZI) mtumiaji wa bidhaa za apple ana ulinzi wa DATA zake kwa asilimia 95%... tofauti na bidhaa zingine
2-Natural INSUARANCE ... huwezi kutoa icloud bila kuingia gharama... hata kama ukiikota au kuiba.. na BADO unaweza kukamatwa popote endapo mmiliki akiamua kutafuta kifaa chake... ina (TRACKING SYSTEM) ambayo kwa simu kama HUAWEI hawana... ushahid ninao.. wenyewe HUAWEI wamekili kuwa hawana TRACKING SYSTEM ya kurudisha device iliyopotea au kuibiwa kwa OWNER (MMILIKI) ila kwa apple devices ipo..
3-PRESTIGE.... (UFAHARI) ukizingatia APPLE imeshika soko la marekani na wamerakani hawapendi mfanano na nchi za dunia ya tatu na wapo updated.. ndio maana TECHNOLOGY yao wanauza kwa bei ya juu.. so kwa sisi watu wa dunia ya TATU mfano TANZANIA kumiliki bidhaa ya apple uwe vizuri mfukoni.. hivyo basi unajiona na wewe unaenda na wakati...
4-QUALITY (UBORA) sio bidhaa za APPLE tu ndio zina ubora tujikumbushe kampuni kongwe kama SONY-BLACKBERRY enzi hizo..mpaka leo wakitoa device inakuwa na quality (kwa waliowahi kutumia hizi brands wananielewa)..
-quality apple wapo vizuri katika maeneo nyeti na yanayopendwa
-CAMERA zao zina mega pixels kibao na wanampango wa kutengeneza camera yenye uwezo wa kukabiliana na TABIA/UWEZO/UBORA wa jicho la binadamu..
-POWER STORAGE inakaa na charge kwa muda mrefu.. ndio maana hadi charge zinauzwa bei na hazizagai hovyo
-SCREEN QUALITY/SIZE
-software yake HAIINGILIWI NA VIRUS kirahisi
-mpangilio wa applications zake nao umekaa vizuri na mengine mengi.
kwa upande wangu hayo ndio yanafanya bidhaa hii kuwa na BEI kubwa ingawa kuna bidhaa zina ubora zaid ya APPLE au zinalingana..
processor za apple huwa neat sana..... yaan ila Blackberry software yao ni mbovu kupindukia... nilikuwa nayo moja blackberry BOLD daah unaflash leo.. kesho wadudu wamerudi..Kwa maelezo hayo nakupa Tano. Hasa kwenye virus, natumia ipad ya apple lakini sioni kama kuna dalili za kuingiliwa virus, kwa device nyingine tahadhari za mara kwa mara zinatakiwa.Afu ni laini sana kutumia hakuna stac wala nini wakati device nyingine hata Sumsung hufanya magumashi sometime
Wakuu kichwa cha habari chahusika.
Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia windows, android.
Bidhaa za apple zmetengenezwa special kwa consumers wenye uwezo wa kuzi afford sio kwa kila binadamu.
maji ya mufindi [emoji2]Maji ya kilimanjaro yana chumvi?..bongo maji gani ni mazuri??..uhai nini?
snapcard inahusika na nin. sorry nakuomba unisaidieHata android sasa naona snap card iko sema sas tazama ukisearch zinakuja ngapi, yenyewe ni moja tu hapo nyingine takataka tu View attachment 801600View attachment 801601
Inapima kiasi cha dawa kilichopulizwa shambani, unanunua cards ziko halafu wakati unapiga dawa unaviweka sehemu tofauti tofauti shambani, ukimaliza unazikusanya kisha unatumia hii app kuanalyse, itakupa majibu kama ulipiga zaidi au kidogo pia itakuelekeza mwanzo wa shamba mpaka mwisho kama ulitumia dawa sawasnapcard inahusika na nin. sorry nakuomba unisaidie
Nimecheka sana! Watu mna majibu hatari, huwa mnasubiri maswali tu!Tunda lenyewe tuu ghali...
ahsante kwa kunijuzaInapima kiasi cha dawa kilichopulizwa shambani, unanunua cards ziko halafu wakati unapiga dawa unaviweka sehemu tofauti tofauti shambani, ukimaliza unazikusanya kisha unatumia hii app kuanalyse, itakupa majibu kama ulipiga zaidi au kidogo pia itakuelekeza mwanzo wa shamba mpaka mwisho kama ulitumia dawa sawa