Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

wanalenga watu wa kipato cha juu na wanazfanya kuwa hivyo ili kuwa unique na kufanya brand yao ya kipekee
 
Mie napenda product zake sababu ya uniqueness,security(when it comes to icloud) na confidence
 
watu wanaipa heshima brand kwa viti vingi, kunavitu vinaitwa brand position
Ndiyo thamani yenyewe itadetermine position na vitu vingi kuifanya iwe mahali fulani. Hadhi ya kitu huwa juu kutokana na thamani yake kuwa kubwa
 
Shukrani...

naona kwasababu toka mwanzo swali halikuwa lako tumeshindwa kuelewana.

mimi bwana nilifeli G.S... sijui sina akili sijui nini.. nilikuwa simkubalii mwalimu Wangu causes za poverty eti ni Poor education..low income...sasa si ndiyo umaskini wenyewe tunaoujadili..

basi nikafeli bwana...sasa hapa naona napelekwa kule kule. asante.
Topic hii majiby yake mengi maghumashi sna,na hawaja stuka had leo
 
Wakuu kichwa cha habari chahusika.
Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia windows, android.

Mkuu siyo kweli kwamba bidhaa za apple ni ghali kuliko wengine, bei zao ni sawa au karibia kabisa na bidhaa za makampuni mengine ya ki electronic.

Jaribu kuangalia bei zao na wengine hazitofautiani sana sema issue inakuja kwamba apple huwa hawatengenezi vitu duni, yan walishajiwekea kwamba wao lazima watengeneze bidhaa bora mda wote. Hizo bidhaa duni zilizojaa sokoni mfano simu za wachina kama tecno na wenzake ndo zinakuwa bei rahisi, hata samsung wanatoa bidhaa za Quality ndogo na wanaziuza bei ndogo lakini apple hawana line ya bidhaa za aina hiyo.

Hii ni pc ya microsoft iko around dola elf 5.. hiyo ni bila kodi nk iangalie hapa
Buy Surface Studio for Business - Microsoft Store
 
Labda sababu ya quality
Ukilipia zaidi...maana yake unalipia na gharama za kukuchunguza zaidi, wanajua kabisa kama una mkwanja wa kutosha kiasi hicho kununua simu ya namna hiyo wewe ni 'person of interest', unaweza kufaa kwa baadaye kwa ajili ya wazalishaji wa simu hizo na nchi zao ikibidi hata kwa kuku'black mail', maana wanakusanya kila kitu kuhusu wewe kutumia simu hiyo. Ninawaza tu...!(ila jihadhari-issue ya CA si mnajua bado haijapoa sawa sawa)
 
Sijawahi ona raha ya kutumia Iphone sababu hata ubora kwa upande wa camera inazidiwa na Nokia. Wanaipandisha tu hadhi
 
jamani bidhaaa za iphone zina ubora wa kuutosha kuanzia ulinzi sio rahisi kuudukuliwa na hacks na pia ina vifaa ambavyo ni imara sana na pia ukiachia hayo ina jina ambalo lime tengenezwa kwa watu kuwa ni bora, vifaa vyake tu. ukiwa na bidhaa ya apple wewe ni salama salimini hapa nikisema CLOUD nahisi mtanilewa vizuri Kuifadhi taarifa na kuzipata, ndo maana wengi kama wana muziki huwa wana tumia i tune ku upload muziki wao huko maana mauzo yana kuwa imara zaidi na pia creadit card kwa wale wanunuzi ina kuwa salama, ina sifa nyingi sema chache ndo hizo.
 
Back
Top Bottom