Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adimu wapi mkuu wakati yapo kibao hapa tanzania? brand position ndo msingi wa bei pia maswala ya brandsababu apple ni tunda adimu sana
unaweza mkuuHivi siwezi kutengeneza bidhaa mbadala kwa kutumia mapera?
watu wanaipa heshima brand kwa viti vingi, kunavitu vinaitwa brand positionThamani ya brand ndiyo inafanya bidhaa kuwa ghali
Ndiyo thamani yenyewe itadetermine position na vitu vingi kuifanya iwe mahali fulani. Hadhi ya kitu huwa juu kutokana na thamani yake kuwa kubwawatu wanaipa heshima brand kwa viti vingi, kunavitu vinaitwa brand position
Topic hii majiby yake mengi maghumashi sna,na hawaja stuka had leoShukrani...
naona kwasababu toka mwanzo swali halikuwa lako tumeshindwa kuelewana.
mimi bwana nilifeli G.S... sijui sina akili sijui nini.. nilikuwa simkubalii mwalimu Wangu causes za poverty eti ni Poor education..low income...sasa si ndiyo umaskini wenyewe tunaoujadili..
basi nikafeli bwana...sasa hapa naona napelekwa kule kule. asante.
Wakuu kichwa cha habari chahusika.
Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia windows, android.
Ukilipia zaidi...maana yake unalipia na gharama za kukuchunguza zaidi, wanajua kabisa kama una mkwanja wa kutosha kiasi hicho kununua simu ya namna hiyo wewe ni 'person of interest', unaweza kufaa kwa baadaye kwa ajili ya wazalishaji wa simu hizo na nchi zao ikibidi hata kwa kuku'black mail', maana wanakusanya kila kitu kuhusu wewe kutumia simu hiyo. Ninawaza tu...!(ila jihadhari-issue ya CA si mnajua bado haijapoa sawa sawa)Labda sababu ya quality
Rejea post # 112 ya usi huu.Ndiyo thamani yenyewe itadetermine position na vitu vingi kuifanya iwe mahali fulani. Hadhi ya kitu huwa juu kutokana na thamani yake kuwa kubwa
Unaweza, juisi.Hivi siwezi kutengeneza bidhaa mbadala kwa kutumia mapera?
Hata Apple ukiamua kuweka pin code unaweka nduguhahahah.... very risk (finger print) mtu anakuvizia umelala anagusisha midole yako.h.. bora PIN CODE