Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

wanawaza maisha ya leo na ccm inawadanganya kwa vitu vidogo vya leo kama kuona wasanii na kupakizwa kwenye malori.
 
Aisee na watu wanaoangalia masilahi yao binafsi yani wabinafsi ndio wanaipenda ccm hivi viwanda 60000 vimejengwa wapi mbona sivioni au mi Tanzania ninayoishi ni tofauti na hii ya Magufuri...!?
 
Back
Top Bottom