Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Kwasababu hata upeo wa kufikiri unakuwa mdogo, yote hiyo inasababishwa kukosa elimu dunia ambayo imetokana na uduni wa kimaisha ambao umeletwa na utawala kwa asilimia kubwa.
 
Sisi tunaoshindia mihogo pia tunaupungufu wa akili?

mzee wa manzese;
Wanamuonea tuu yule Dr. mla mihogo a.k.a mshindia mlo wa muhogo. Kama mtu anashindia mlo wa mhogo lazima ana utapia mlo. Mwenye utapia mlo, akili yake imepungua, hawezi kufikiri vizuri.
Baasii naamua hivi; Asitokee mtu kumkemea wala kumsema tena Dr. Slaa. Ana utapia mlo huyo, hivyo hakujua alilokuwa akisema. Kukaa kwake kwenye Upadri kulimfanya awe mvivu wa kila kitu. Mvivu wa kufanya kazi ale kwa jasho, mvivu kufikiri hata akumbuke kuwa ndiye aliye mkaribisha Lowasa UKAWA. Mvivu wa kufikiri kuona kuwa akimtusi Lowasa amewatusi wapinzani wote Tz. Mvivu kufikiri ajue kuwa yeyote aliye kinyume na upinzani anaitetea ccm ikae madarakani...mengine ongezeeni tu.
Ukisema HANA AKILI umemwonea, sema akili yake imekuwa butu kwa sababu ya utapia mlo. UKAWA daima, tusisahau kuvichunga vyeti vyetu vya kupigia kura. 25 Oktoba ni hivi karibuni tu, siku hazigandi
 
Upo sahihi mkuu,tena ukitaka kuamini zaidi hebu jaribu kuwahoji vijana wawili wanaoipenda ccm,waulize hivi:una mpango gani ktk maisha yako baada ya miaka 5 ijayo? Swali hilo hilo lielekeze kwa vijana wawili pia wanaotaka ccm ianguke,utaona ni kwa jinsi gani majibu yao yatatofautiana,utabaini ni kundi lipi umaskini umo kwenye damu na kundi lipi linauchukia hasa umaskini.

wanaoipenda ccm watakwambia hivi hivi tu ilimradi nakula na lala maisha yanaendelea, yaan wamekua hopeless sio siri inatia uchungu sana.
 
Tafiti Gan Unazotaka Wew?Unataka Kuniambia Wote Wanaopgia Ukawa Ni Matajiri?Unataka Kuniambia Watu Wote Wa Ukawa Hawafaidiki Na Hii Serikali?unataka kuniambia wapiga kura wa ukawa wote wanajua kusoma na kuandika?

Ni nani amewasababishia kutokujua kusoma na kuandika kwao?
 
MPUMBAVU LOFA MKUBWA

HAPA KAZI TU


MAFISADI UKAWA
NEC+DOM+SEPT+25,+2012.jpg

Ukweli unauma

Hapa kazi tu na MA jobless 👎👎👎
 
Elimu hakuna hasa vijjn. Unaweza kuta vijiji 20 kuna tv moja, wengine mpaka leo wanajua mwl nyerere bado yupo.
 
Ccm siyo chama cha matajili hata kidogo mafisadi na matajili wako chadema.
 
Ccm siyo chama cha matajili hata kidogo mafisadi na matajili wako chadema.


Chadema sio matajili ni matajiri na wanachama na wapenzi wana uwezo kichwani na mifukoni

na chenu cha makabwela lakini viongozi ni matajiri na wafuasi wanahuzunisha kwa umaskini kichwani na mifukoni
 
siku zote ukitaka kumtawala mtu,kifikra,kiakili,kiuchumi,kijami na mengne mengi na ndo kilicho wafanya wazungu kuitawala AFRIKA fanya yafuatayo
1😛anda mbegu ya umasikin,hii ndiyo njia pekee iliyofanya ccm izidi kutesa na kutawala tz,kila inapokaribia uchaguz na wananch wakaonesha kutaka mabadiriko ccm inajitokeza kwa kugawa vijisenti,unga kwa masiki wanao lala njaa,mikopo vya vidundi vya majasiliamali wadogona vikoba,hii uwafanya kusahau kadhia na machungu yote waliyopata kwa kipindi chote cha nyuma na kujikuta wanaichagua tena
2:wapende mbegu ya woga,watanzania walisha pandikizwa woga kwakudanganywa kuwa ni amani kila wakijarbu kutaka mabadiliko wanaambiwa kuwa aman itatoweka wakiona police na kusikia milio ya mabomu wanajikuta wanaichagua ccm kwa woga,xaxa ifike wakati tufute woga na kukatb umasikin uloletwa na ccm kwa lengo la kuendelea kutawala
 
Umaskini ni mtaji wa kura za ccm,wanafahamu kuwa maskini asiyekuwa na chakula,mavazi na malazi akipewa chakula,kanga,T.shirt na kofia za ccm ni faraja tosha kwao.Tahadhari kwa mafisiem,wananchi wameamka,wanafahamu chuya na pumba!!
 
sema utakavyo hisi na niweke kundi utakalo but ukwel naujua mwenyewe,sababu ya kuipenda ccm naijua mwenyewe sio kwamba ni perfect sana la hasha lakini kwa ninachokiamini na kwa dhamira niliyonayo inanifanya niwe mwanaccm...

Kwa maslahi gani uliyonayo?..tumeshuhudia mabilioni ya pesa yakichukuliwa kila siku na hao watu..wewe huna uchungu na nchi yako..wakati hakuna hata dawa mahospitali na elimu ni duni..walimu na madaktari kila siku wanalalamika..huna uchungu??..utakuwa mtu gani sasa?? ni zombie tu atakayevumilia huu ujinga!amka ungana na makamanda kuikomboa nchi..hawa jamaa wamejisahau sana wanadhani ni wafalme na ni haki yao kufaidi matunda ya nchi hii peke yao..ona bank kuu..ni watoto wa vigogo watupu..kweli hiyo ni halali..unapoipenda ccm kwa sasa..ni sawa na kutembea na kichwa kisicho na ubongo ndani yake!
 
Nakubaliana sana nawe japo hajatoa jibu ccm au upinzani dominance itaisha lini
 
Kwa maslahi gani uliyonayo?..tumeshuhudia mabilioni ya pesa yakichukuliwa kila siku na hao watu..wewe huna uchungu na nchi yako..wakati hakuna hata dawa mahospitali na elimu ni duni..walimu na madaktari kila siku wanalalamika..huna uchungu??..utakuwa mtu gani sasa?? ni zombie tu atakayevumilia huu ujinga!amka ungana na makamanda kuikomboa nchi..hawa jamaa wamejisahau sana wanadhani ni wafalme na ni haki yao kufaidi matunda ya nchi hii peke yao..ona bank kuu..ni watoto wa vigogo watupu..kweli hiyo ni halali..unapoipenda ccm kwa sasa..ni sawa na kutembea na kichwa kisicho na ubongo ndani yake!

Yote Hayo Matatizo Yanajulikana,tatizo Linakuja Unayemuamini Hana Misingi Imara Ya Kusimamia,viongozi Wa Ukawa Ni Vigeugeu Ni Hatari Kwa Taifa Letu,hawa Sasa Hv Watajinasibu Tukawaamini Lakn Kesho Hawa Watu Hatujui Watakuja Na Sera Ipi Tena.Kama Waliweza Kukana Walichokisema For 8yrz Hawa Si Wanaweza Kukana Hata Sera Zao Tamu Kesho Tu...
 
Mkuu kuongezea kwenye utafiti wako, angalia hata mikoa ambayo CCM ni maaluf kama Dodoma, Tanga, Lindi, Geita watu awke ni maskini wa kutupwa. Japo Raslimali zilizopo kwenye mikoa hiyo ni kubwa mno. Na mikoa ambayo upinza umepamba moto ndoo wanaokula bata. Eg. Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya na Arusha.CCM INATUMIA UJINGA NA VITISHO KUTAWALA WAKATI UKAWA WANAKUJA KWA GIA YA ELIMU NA HOJA ZENYE MASHIKO.
 
Hii mada imebebwa na dharau na uzalilishaji kwa masikini kwamba wao ni watu wa kupelekwa pelekwa.kuna masikini wengi sana sana wana akili kuliko mtoa mada,sema tu utafiti wako umeegemea kuamini ufikiliacho wewe binafsi
 
Ccm siyo chama cha matajili hata kidogo mafisadi na matajili wako chadema.

Dah, nyie watu waajabu sana. mnapenda kujitoa ufahamu, mmesahau bilioni kadhaa zinaitwa vijisenti? unajisahaulisha milioni kumi ni pesa ya mboja. angalia kwenye mikutano yenu watu wote wenye obesity wako meza kuu. hahaha.

mnatuona malofaaaa.


haya tukutane october 25.

Asante
 
Utafiti wako bado unaukakasi weka namba ya idadi ya masikini unaosema ndio wengi afu tupe na ushahidi wa ama video au sauti zao.
Pia tutajie angalau majina 1900 ya watoto wa vigogo wanaonufaika na ccm.
3 hilo kundi la wasiojielewa wewe pia upo ndani yake vinginevyo nitakuwa bado namashaka na research yako ambayo haina evidence.
. mtoa mada namuunga mkono kwa asilimia zote vile vile wew upo ktk makundi hayo
 
Back
Top Bottom