ndalikane bigambo
Member
- Jul 11, 2015
- 94
- 21
Ww tajiri uko chama gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunaoshindia mihogo pia tunaupungufu wa akili?fact, umaskini unapunguza sana uwezo wa kufikir kutokana na lishe mbovu.. pia huwafanya watu kuamini maisha waliyonayo ndio wanayostahili.. sie wachache tunakaz ya kuwakomboa. viva TZ
Utafiti wako bado unaukakasi weka namba ya idadi ya masikini unaosema ndio wengi afu tupe na ushahidi wa ama video au sauti zao.
Pia tutajie angalau majina 1900 ya watoto wa vigogo wanaonufaika na ccm.
3 hilo kundi la wasiojielewa wewe pia upo ndani yake vinginevyo nitakuwa bado namashaka na research yako ambayo haina evidence.
Hao ndo mnaowalaghai
huo utabaki kuwa utafiti wako hata mwingine anaweza akaja na oppozt research ikakubalika vilevile coz kila mtu anauhuru wa kufanya research aitakayo
Utafiti wa mdau umekuchapa!!?
Uko kundi namba 2
Umenichapa Kivipi?Mimi Sipo Kwenye Makundi Hata Moja Kati Ya Hayo Aliyosema....Ni Utafiti Wake Na Utabak Kua Hvo Na Mimi Namsifu Kwa Alichotafiti Wengine Watakubali Na Wengne Watakataa Thats Democracy!
Kataa kwa tafiti sio kukataa tu
Si hivyo tu, CCM pia inawapenda sana maskini. Kwa hiyo inafanya kila hila ili waendelee kuwa maskini ili CCM iendelee kuwepo. Endapo UKAWA itachukua dola, namna pekee ya kuhakikisha CCM hairudi madarakani kamwe ni kupeleka elimu na mawasiliano vijijini.
Nakuhakikishia, elimu ikifika Bahi na Kongwa, CCM imeaga dunia