No research,no right to speak,baada ya utafiti wa kina nilioufanya kuanzia vijijini hadi mijini ktk vijiji 75 na miji 4,nimebaini kuwa ccm ina mizizi sana vijijini kuliko mijini,watu wengi niliowahoji ktk vijiji hivyo tofauti ktk utafiti wa miaka mitatu niliofanya na kuuhitimisha jana nimebaini kuwa wengi wanaoipenda ccm ni maskini wa kutupwa na wasio na elimu yoyote,na hawajui kwanini inawapasa kupiga kura,wananchi wengi wa mjini niliowahoji nilibaini kuwa wengi wao wanaoipenda ccm ni wale wanaotoka ktk familia za makada wa ccm,na wengine ni ushabiki wa kushabikia wasiojua lolote,na wengi wanaopenda upinzani nimebaini kuwa ni kundi la watu waelewa sana ambao wana ndoto nzito za kufanikiwa kimaisha,wanawaza kumiliki magari ya kifahari,biashara kubwa na makampuni hao ndo wanataka ccm ianguke,kifupi nimegundua kuwa wanaoipenda ccm wapo ktk makundi matatu,(1) maskini wasio na future (malofa) (2) wanaofaidika na ufisadi na mfumo mbovu wa ccm (3) wajinga wasiojua kitu na walio karibu na vigogo wa ccm,embiciles.