U umusuntiwawe Member Joined Jul 9, 2020 Posts 52 Reaction score 125 Aug 30, 2020 #261 Nimekuwa nikijiuliza sana sipati jibu!
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,547 Reaction score 11,704 Aug 30, 2020 #262 wanawaza maisha ya leo na ccm inawadanganya kwa vitu vidogo vya leo kama kuona wasanii na kupakizwa kwenye malori.
wanawaza maisha ya leo na ccm inawadanganya kwa vitu vidogo vya leo kama kuona wasanii na kupakizwa kwenye malori.
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Aug 30, 2020 #263 Mbowe anaipenda Chama ipi??
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,077 Reaction score 8,828 Aug 30, 2020 #264 Aisee na watu wanaoangalia masilahi yao binafsi yani wabinafsi ndio wanaipenda ccm hivi viwanda 60000 vimejengwa wapi mbona sivioni au mi Tanzania ninayoishi ni tofauti na hii ya Magufuri...!?
Aisee na watu wanaoangalia masilahi yao binafsi yani wabinafsi ndio wanaipenda ccm hivi viwanda 60000 vimejengwa wapi mbona sivioni au mi Tanzania ninayoishi ni tofauti na hii ya Magufuri...!?