Hivi kwanini gari aina ya Nissan Murano zinauzwa bei ya kutupwa?

Mimi nipo kwenye utata , Kati ya Nissan Duals na Premiho ipi ipo poa , uwezo wa kuagiza iliyotembea below 50000 miles , yyte Kati ya hzo ninao , nasita kwenye Premiho sababu naona kama ipo down Sana
Nunua Premio, hata ukikaa nayo miaka 3 bei utakayouza kama umetunza vyema haitapungua zaidi ya million 3.5. Yani kama uliinunua 18M ni rahisi kuiuza kwa 14.5M kilaini mno ambapo hasara sio kubwa.

Ila dualis kwa miaka hio hio tatu kama ulinunua 18M kuja kuiza 10M kwa tabu na mateso ni kawaida.
 
Premio haiko chini boss sema pia haiko juu kama utai compare na SUV kubwa Mimi yangu imekuja na R15 size na sina mpango wa kubadirisha chochote maana nimepita tuta za njiani zote napita bila kunyunyiza na hata rough napita kwa namna yeyote labda kama utaifanya gari ya Shamba hilo sasa tatizo.

Nikutamanishe na ka clip kidogo😀😀
 
View attachment 2764719
Umetisha jombaa
 
Hyo new model nayo inaonekana nzuri haswa
 
Nunua Premio, hata ukikaa nayo miaka 3 bei utakayouza kama umetunza vyema haitapungua zaidi ya million 3.5. Yani kama uliinunua 18M ni rahisi kuiuza kwa 14.5M kilaini mno ambapo hasara sio kubwa.

Ila dualis kwa miaka hio hio tatu kama ulinunua 18M kuja kuiza 10M kwa tabu na mateso ni kawaida.
Chief umemshauri Premio new au old
 
Premio new
Screenshot_20230928-104840_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom