Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Umesahau na hii Jpm kajenga stendi ya mabasi ya kisasa na kubwa kuliko zote afrika mashariki.
 
NOTHING
 
Acha kutetea ujinga mfuko wa maafa unawekwa pesa za walipakodi so kama pesa za majanga zilihamishwa Bora angekiri sio kuanza kurusha matusi kwani angesema alotumia zile Hela za mfuko kujenga Barabara wangempinga? Ila akaanza matusi mara UKIMWI Bukoba, mara Katerero, sijui mto ngono, MV Bukoba, mara Vita wao, mara Tetemeko wao as if waliyaomba hayo majanga.

Kuhusu Samia kusaidia wahanga huwa sio mtu binafsi kupewa Hela mkopo haufanyi kazi hivyo. Ila unapoomba unaandika ni miradi Gani utafanya itakayochochea uchumi Ili madhara ya COVID 19 yamezwe. Sio unakopa Billion 300 afu eti ugawe kwa wahanga hamna mkopo utapewa!!

Ila mfuko wa maafa ndio kazi yake hiyo, same tu misaada aliotoa Kenyatta na Museveni Cha kushangaza pesa zote za rambirambi eti zielekezwe serikalini. Ghafla pesa zile zimejenga Barabara na madaraja huku wananchi hawana pa kuishi.

JPM alikua ana chuki za ajabu sana, yaani kisa walimkataa totally 2015 basi ndio chuki zikawa kubwa.
 
Alionesha maisha ya hofu na uchaji wa Mungu na kuwataka watanzania kumpatia Mwenyezi Mungu kipaumbele cha kwanza katika maisha yao.
JPM yupi alikua mcha Mungu? Si ndio alikua anatembea nje ya ndoa kivipi Tena mcha Mungu? Si ndio huyo huyo alisema Maalim asipewe Hela za matibabu kisa kamnyima SheIn mkono!! Si ndio huyo huyo alitaka kumuua Lissu?? Mcha Mungu avuruge uchaguzi 2020?

Aiseee acheni kukufuru, sio Kila anayemtaja Mungu jukwaani ni mcha Mungu wengine ni unafiki tu kuonekana wema. Hivi si Majaliwa alidanganya msikitini kabisa yaani mtu anaongea uongo ndani ya msikiti alafu Bado mnadhani hao viongozi Wana hofu ya Mungu kweli?
 
Wewe na huyo baba yako zitto hata leo mkifa tutawakumbuka kwa lipi labda tena kuhusu huo mradi usichukulie poa zimepita awamu ngapi za urais zimeshindwa kuanzisha.J.P.M Bado mtamuimba tu
We ndio hujitambui eti kisa shangwe, Ile ni appreciation sababu ule mradi ulifanyika awamu yake Wala Haina maana ndio approval ratings. Kama ni hivyo mara ngapi huyo Samia anampinga vijembe JPM na hao wananchi wanashangilia.
Huyo
 
Ila
Samia mjanja
1. Samia alitafuta maridhiano ndani ya ccm kwanza ndio maana anaenda sambamba na ccm kwa ujumla wake kwenye mazungumzo na kila kitu

JK ALITAKA KATIBA MPYA BILA support ya Ccm ndio maana alikwama.
Ila hii nchi ina watu wajinga sijawahi ona ndio maana wanasiasa wanatafuna tu kodi zetu
 
Hojazenu ni nyepesi na zakijinga sana.
 
Huyo mwamba wako ni motoni tu, hakuna option nyingine. Bila Mungu kuingilia kati sijui nchi hii ingekuwa wapi
Aisee mbona unakufuru sana MUNGU
Sijui ni dini gani lakini ni dhambi kubwa sana kumuhukumu wewe sio mungu. Hadi utoe hukumu binadamu hatujakamilika kila mtu ana madhaifu yake na mimi na wewe ni marehemu watarajiwa tunaosubili hukumu yetu hatujui itakuwaje.
 
Uchaguzi wa 2020 Magufuli aliuharibu vip.
Ivi ukikaa mwenyewe umetulia na akilizako zote ulidhani nani angeshinda uleuchaguzi 2020?.

Kwanini unasema 2020 uchaguzi uliharibiwa, vipi kuhusu 2015 uchaguzi ulikuwa halali??.
 
Hao ndio wanaofi
Wao wanafiKiri kwamba mtu akifa basi ndio muovu wanaobaki ndio watu wema .ndio maana nasema Watanzania walio wengi ni wajinga kupita kiasi .
 
Hata asipogombea hoja ni kwamba Chadema is against JPM so does CCM ya Samia. Sasa JPM Wa Nini? Move on tuna matatizo mengi kama Umeme, mfumuko wa bei, bunge dhaifu, ajira, kilimo n.k hayo ndiyo yataamua Rais wa 2025 sio marehemu ambaye ameshaoza.
Na kama Chadema hatataka kushindwa bsi aende against Magufuli au amtukane uone
 
Nitajie mradi mmoja tu mama yenu alioufanya nazidi ya ile filamu yake isiyokua na muelekeo... Magu ndiye rais Bora so far Hadi Sasa tangu Tanzania ianze
Nakutajijia.
1.Katoa msaada mafuriko ya mbeya
2. Filamu aliyoigiza
Ndio hizo ninazozijua
 
We
Acha usukuma gang na utumie akili tu za kwaida, hakuna nchi ambayo hakuna masikini ila kuwa masikini siyo jambo la kujivunia kama unavyofanya. Huo umasikini wenu aliwatoa huko au bado mko huko?
Wee jamaaa ni mjinga sijapata kuonaπŸ˜ƒ
 
ASANTE SANA
 
mama yenu kafanya kipi kipya cha maendeleo bado aliyoachiwa kashindwa kuimaliza kakalia kubembelezana na chandema na tumbuatumbua na kuteuwa maendeleo hakuna
Zaidi ya maisha kuwa magumu tu kodi kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…