Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.

Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.

Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.

Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?

Kweli mijinga mingi Tanzania
 
Mwamba ikipita siku hajaandikwa walamba asali haishuki tumboni.

Mwamba alikuwa anataka watu waendelee kupambana na kuchapa kazi.

Wavivu wakaona siasa ipite na hadi sasa kila wanachofanya wanataka kujilinganisha na mwamba.

Bado sanaaa.. 2025 ukiutaka urais lazima utaji jina la mwamba ndipo upate kura.
 
Umeelewa mada lakini? Kwanini watu wamechanga pesa kwa ajili ya waliopata changamoto iliyotokea nje ya uwezo wao lakini pesa zilizochangwa akala na kashfa akawamwagia, ukizingatia yeye ni chief comforter?
 
Madhaifu na makosa ya Magufuli tusifanye kuwa ndio kipimo cha ubora wa Samia, mfano tizama jambo la kuruhusu mikutano ya kisiasa lilikuwa jambo dogo tu ambalo Samia angelifanya toka mwanzoni huko alipochukua madaraka ila likazungushwa likaonekana ni jambo zito sana na sasa tunamuona Samia kafanya jambo kubwa sana kwenye uongozi wake. Ukiangalia huu uzi nao ndio vilevile kwa sababu Magufuli alifanya vile ila yeye Samia kafanya hivi basi tena tunalifanya hilo jambo kuwa kubwa kabisa la kipekee.

Hii nchi ukiwa serious utajitesa tu.
 
Ukirejea kusomasoma tena uzi bila kujichukiza,anayeelezewa ni jiwe.Rudia ujihakikishie mwenyewe.
 
Taahi.ra nyie hiyo mimba ya JPM inawatesa sana, inaonesha aliiba akamuhonga mama yako, ingieni field kwenye majukwaa mumdhihaki hivi muone kitakachowapa na sio mnajificha JF na multiple accounts zenu mapumliwa visogoni nyie.
Punguza usukuma weye!Kwani kila unayejibizana naye unadhani tu atakuwa na jinsi kubeba mimba kama aliyekuzaa?Kuwa mvumilivu upigwe psychosis destructions hadi uombe michembe ubugie.
 
Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.

Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.

Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.

Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?

Capitalism Vs Socialism
Mmezoea vya bure, fanya kazi

Ati hizi kama pesa za Mama Samia, hizi ni pesa zako
 
Back
Top Bottom